Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Anti kala maharage ya wapi aisee anayaporomosha matusi ka hana akili nzuri. Atakua kweli mume wa mtu hilo povu alilolitoa.

Mhhhhhhh! Aunt nae si ndio walewale tu, kwake hivyo kawaida sana.

Yaani mtoto anavyofichwa tuu..
Yaan mimi sielewi kweli mtoto anabebwa kwenye kapu sijui ndo nini hiyo.. au ndo mimi mshambaa?
 
Attachments

  • 1432839740294.jpg
    1432839740294.jpg
    29.3 KB · Views: 65
Kweli sisi wambea mwaka huu hatuambulii kitu
 
Attachments

  • 1432839906629.jpg
    1432839906629.jpg
    22.3 KB · Views: 69
Yaani mtoto anavyofichwa tuu..
Yaan mimi sielewi kweli mtoto anabebwa kwenye kapu sijui ndo nini hiyo.. au ndo mimi mshambaa?

Anti anapenda maisha ya Kim kardashian mno ndo huwa zao kuficha. Mtoto kosa analofanya ni kuanza kutukanana na mashabiki mtandaoni.
 
Kesho stay tune at MTV base channel namba 320 on dstv
Baada ya domo kutembelea nyota ya h baba mwanza hamshindwi kusema anamng'arisha kiba.
Hahahaaaaa
 
Attachments

  • 1432840273539.jpg
    1432840273539.jpg
    51.4 KB · Views: 81
H baba toka 2013 ana mchukia diamond ilo linaeleweka mbona

Ila lazma mkubali kua h.baba mwanza anakubalika.
watu wa mwanza huwaambii kitu kuhusu h baba.
Unajua kwa nini h.baba alisema wale watu ni wakwake?
Nilikuwa mwanza kipind flan h.baba alikuwa na shoo kirumba pale alijaza watu nyomi haswa tena zaidi ya wale wa juzi.
 
Ndio ana kubalika n sawa sawa n afande sele anavyokubalika morogoro
 
Ndio ana kubalika n sawa sawa n afande sele anavyokubalika morogoro

Apo umenena.. sasa mnachojishaua kuwa h.baba alitembelea nyota ya domo ni nini? Ikiwa h baba ndo alijaza ule uwanja?.acheni masifa ya kijinga
 
Apo umenena.. sasa mnachojishaua kuwa h.baba alitembelea nyota ya domo ni nini? Ikiwa h baba ndo alijaza ule uwanja?.acheni masifa ya kijinga

H.baba alianza kuwa maarufu kabla ya diamond ila cku izi diamond yupo juu ya h.baba
 
H.baba alianza kuwa maarufu kabla ya diamond ila cku izi diamond yupo juu ya h.baba

Aya tuachane na hayo.
Vipi wew kila siku unakuja kupiga bla bla huku mbona hutubandikiagi matangazo yako kuwa unauza njiwa?
Au hautaki tuwe wateja wako?
 
Back
Top Bottom