Wakuu nimeshampigia kingKiba kura katika category zote 7, kwa njia ya sms.
Bado najitahidi nitumie na simu nyingine nipige kura zaidi, nawasihi fans wote wa Kiba tuhakikishe tunapiga kura, tupende kwa vitendo jamani.
Achana na hii michele michele inayoshinda huku na sisi.Wanaume wa shoka wako zao busy hata kuwaona huku ni kwa nadra na wana heshima zao bwana.
Mwanaume wa hivyo namheshimu sana, ila ninayeshinda nae heshima itoke wapi?
Yaani ni balaa tupu, kutwaaa wapo humu na maneno yao sasa mara "pyeeeee,ni shidaaa,unalooo,n.k" hv kweli hayo ni maneno ya mwanaume kuongea, Kiba anatusua wewe janaume zimaa umekalia kupiga majungu humu badala uhangaikie maendeleo yako
Nishamsogezea karibu mamy asipate tabu kui tafuta
Wewe tena mpenzi? Ndio maana nawapenda sana Kiba Fans wenzangu.Hata tukosane vipi hatugombani hadharani tunavumiliana kama ndugu.
Mmeifanya JF kuwa sehemu salama ya kuishi.
♥♥♥ Kiba Fans ♡♡♡
Kiukweli Le Mutuz mtu wa ajabu sana.Hata hivyo tumuache tu maana alishasema hakuna wa kumbadilisha.
Hivi ulishaona caption zake za usiku kabla hajalala...
Eti kiss ni MUAHAAAAA! Uwiiiiii jamani nachekaga aje sasa?
Hahahahaha shoga hiyo biashara ya samaki ilikuwaje?
Huyu nae alikua na biashara kumbe? Basi alijitahidi sio sawa na wanaume suruali wanaoshinda JF na sisi watoto wa kike.
Eee, hapo hapo alijitahidi sana kujitangaza ooh nauza samaki....mazafanta nani anunue minyoo ile!
Yaani ni balaa tupu, kutwaaa wapo humu na maneno yao sasa mara "pyeeeee,ni shidaaa,unalooo,n.k" hv kweli hayo ni maneno ya mwanaume kuongea, Kiba anatusua wewe janaume zimaa umekalia kupiga majungu humu badala uhangaikie maendeleo yako.
Kubwa kuliko yoteee mwanaumr anasema atawarambisha ndimu!
Can u imagine hayo maneno from a man!
Yaani ni balaa tupu, kutwaaa wapo humu na maneno yao sasa mara "pyeeeee,ni shidaaa,unalooo,n.k" hv kweli hayo ni maneno ya mwanaume kuongea, Kiba anatusua wewe janaume zimaa umekalia kupiga majungu humu badala uhangaikie maendeleo yako.
Mhhhhhhh! Kazi ipo hapo.Mimi siwezi date na mwanaume mwenye mambo ya kiswahili hata siku moja.
Hivi kama anaandika hivi mitandaoni huko ndani si itakua ni mwendo wa kuchambana tu?
Hahaaaaa hafu ni muuza njiwa sasa badala afanye kazi ni kuhangaika Na Ali Kiba.
Hahahahahaa kumbe tunabishana na wauza njiwa humu?
Hahaaaaaaa kumbe ulikua hulijui hilo. Ndo maana mi nilishampuuzia mda. Sasa hao njiwa kapata soko la kuwauza.
Awwww, how sweet of him? Kiukweli Ali Kiba ni baba bora kabisa, Mungu anijaalie mwanaume mwenye upendo kama huyu.
Kubwa kuliko yoteee mwanaumr anasema atawarambisha ndimu!
Can u imagine hayo maneno from a man!