Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamaa samahan naomba kuuliza hivi kupga kura kili music award ni mara moja tu??naomba jibu mm nmepga kwa namba yao ya whatsapp
 
Oyooooo, jamani nimeshafanya yangu kama hivyo.Vipi cute b tunavote mara ngapi?
Kama ni sawa na tuzo za watu sema nikafanye mabalaa huko maana sina shida ya bundle linanisumbua hapa.
 
Attachments

  • 1432804390104.jpg
    1432804390104.jpg
    31.5 KB · Views: 45
Last edited by a moderator:
Oyooooo, jamani nimeshafanya yangu kama hivyo.Vipi cute b tunavote mara ngapi?
Kama ni sawa na tuzo za watu sema nikafanye mabalaa huko maana sina shida ya bundle linanisumbua hapa.

Oyoooooo big up nifah kuvote ni mara moja kwa email. Ila ukitaka kuvote tena ni adi utumie email nyingine..
Mimi nipo nacreate email kama tano ivi apa tayar tatu
 
Last edited by a moderator:
Anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia
Na nani ampe rupia iende pasi na fadhila
Madhira anayopata nikimwona namuhurumia
Natamani arudi kwangu ila kumwambia sio sawaaa

Mimi na yule (yuleee) tulioana yulee

Maji ya mapenzi aloonyesha yalifuata mkondo yakaenda...
Na radi ikapiga kuonesha kwamba nilimpenda sana
...

Mimi na yule (yuleeeee) tulifunga ndoa

Arakata tatatataaaa dulesheleee dusheleeee
kedrick utahanja sana ila kwenye le royal family hunusi!

Umetisha mama, duuuuh ila huyu jamaa anatunga jamani, muacheni tu aitwe king.
 
Last edited by a moderator:
Oyooooo, jamani nimeshafanya yangu kama hivyo.Vipi cute b tunavote mara ngapi?
Kama ni sawa na tuzo za watu sema nikafanye mabalaa huko maana sina shida ya bundle linanisumbua hapa.

Mwenyewe shafanya yangu mapema ikaniletea hivo. Upigaji kura huh ni mzuri hauna complications namiupenda bure.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe shafanya yangu mapema ikaniletea hivo. Upigaji kura huh ni mzuri hauna complications namiupenda bure.

Hata mimi nimeupenda sana kiukweli.Mimi ninazo email mbili ngoja nitabadilisha hii iliyopo sasa niweke nyingine nipige tena.
 
Uwiiiiiiij! Shoga Le Mutuz kaja kwenye ule uzi wa Le Tamkoz kua King hakustahili ushindi....
Leo ni leo.

Anataka nini sasa yule nili shampuuzia tu hana jipya na ile ni kazi yake kulipwa ukubwani ngoja niende nikaangalie.
 
Hahaaaa babu weee ni sikio la kufa yule attention seeker kuhangaika na babu ni shiiider.

Kiukweli Le Mutuz mtu wa ajabu sana.Hata hivyo tumuache tu maana alishasema hakuna wa kumbadilisha.
Hivi ulishaona caption zake za usiku kabla hajalala...
Eti kiss ni MUAHAAAAA! Uwiiiiii jamani nachekaga aje sasa?
 
Back
Top Bottom