Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nifah na like post yako mahali ambapo uyo mtu yupo... then view like utakapoona like yangu apo apo kuna mwiziii afu uje uwa pm wedhako..

Acha kudaganya watu ww bora ulale utokuja kunijua
 
Last edited by a moderator:
Nifah kila Uzi jamii forum namuona am feeling babe

Wewe kiroboto nikome, usitake mazoea na mimi sina time na mamburula kama wewe.
Nafanya ninavyotaka humu usinipangie cha kufanya.
 
nifah na like post yako mahali ambapo uyo mtu yupo... then view like utakapoona like yangu apo apo kuna mwiziii afu uje uwa pm wedhako..

Poa dear, ngoja nifanye hivyo sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kiroboto nikome, usitake mazoea na mimi sina time na mamburula kama wewe.
Nafanya ninavyotaka humu usinipangie cha kufanya.

Mbona una hasira ivi ww n muislam kweli hatuwagi ivyo kwa waislam wenzetu we ndo ndugu yng
 
Utahangaika tu na hao watu.
Hakuna maelezo ya Kiba ambayo hayakuwekwa humu sema watu hawataki kuyaona. Hata hizo tuzo zishaandikwa ....so wasikusumbue anaetaka asome thread yote.
Labda kama unajitolea kujibu kila anaekuja kuuliza!

Nimeelewa ndugu yangu.
 
London thing Diamond Platinum mtasubiri sn

Mkuu usishangae kuletewa show z kiba alizozipiga ifakara.... Kila mtu ana haki ya kushabikia anayemtaka ila yanapokuja masuala ambayo yanahitaji judicial notice kama Diamond kuwa juu zaidi ya wasanii wote Tz ndo hapo tunapokosana na Team kiba
 
Hata kama Kiba akiwa hana tuzo hata moja, ndiyo tumeshafanya maamuzi ya kumuunga mkono.
Just die with it.
 
nifah ukishamjua yule ndorobo anayetinga na Id mupya nakungoja pm mama unidakishie.
Sawa tu na yule wa mtaa wa pili anayetongoza tongoza kama ana maruwani afu wakija huku wanaponda tu.
 
Last edited by a moderator:
cute b umetisha sana.Hakika ni yeye 100% maana nimefanya na 'karesearch' kidogo kwenye arguments zake ndio hivihivi kama anavyo argue hapa.Ngojeni niwatumieni pm id yake nyingine...
 
Chezea kiba' fans wewe.....wapelelezi wa kutoshaaaaaaa...yaani nilimsaka sana na hatimae nikafanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom