Asante ila me cjaumia mbona ila thanx for caring
Naona umetoka online ukaenda kuingia na ID yako original. Afu huwezi amini nishakujua wew ni nani....na id zako zote zitaunganishwa na utaaibika hatari kwani kumkandia kiba ni adi uingie na new ID?

Aisee una nifatilia ww but whyyyyy no noti raiti n kiba me cjamkadia kitu just nimesema amfikie diamond
Sasa si ungesema ivyo kwenye ac yako ya siku zote? Nini maana ya kufungua new ID? Nishakwambia zitaunganishwa zote apa uumbuke
Hata nikiwa na tano Hanna MTU mwny uwezo wa kujua mie n nani
Mimi nishakujua
Ah wapi huwezi nijua ww
ID yako inaanzwa na herufi A...uongoo?
Mtajeeee
Naogopa ban ila labla mods washindwe kumdaka tuu.
Watu wana kazi jamani? Yaani mtu hadi anafungua ID ya kuja huku kwa Kiba?
Watu wana kazi jamani? Yaani mtu hadi anafungua ID ya kuja huku kwa Kiba?
Naogopa ban ila labla mods washindwe kumdaka tuu.
Watu wana kazi jamani? Yaani mtu hadi anafungua ID ya kuja huku kwa Kiba?
Keshaumbukaa ...kwani leo umemsikia na zile story zake za kijinga? Kashika adabu leo anatembelea Og ID yake...
Sijawahi kupigwa ban tangu nimejiunga jf, ebu ni PM IDs zake zote nimtaje....sio mbaya kama nikijifungulia dimba la kuinusa jela!
Bora ulimshtukia mapema mana alikua anajitoa ufahamu ka chizi flani hivi kwa kuhangaika na multiple I'd na atulize mshono sasa.
Yaan kimbelembele chote mfukoni......
Shost nimeblock pm sasa thijajua kama nitaweza kutuma....hahahaa saivi yupo on line na ile id yake namwonaa