Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Nipeni code za kumpigia kura Kiba kwenye tuzo za watu.
Fungua bhana.....na hamu nimjue
Hahahahaa! Kiukweli tuko vizuri Kiba fans, hata sijui ilikuwaje tukapendana hivi! Sijui ni hivi tulivyo hustle kwenye kumpigania King hadi automatically tunajikuta tunapendana tu.Wapo wanaotuogopa, wanaotuonea wivu kwa jinsi tulivyokuwa familia, na wengine wanatufeel kinyama ila ndo hivyo wanaanzaje kuja wazima wazima bila kuonekana wanasaliti kambi?!!
Inabidi wabadili tu chupi mwenzangu maana zile zingine zishaweka alama!
Nipeni code za kumpigia kura Kiba kwenye tuzo za watu.
Fungua bhana.....na hamu nimjue
Mwenzangu hata mimi nina hamu na huo umbea.Afungue tu mwenyewe nahamu ya kumjua hawa nilisha washtukia mda mrefu ukitokea uki wanakuja na I'd tofauti tofauti na kutukana juu. Yee ka kidume arudi tena kwenye uu Uzi.
Mwenzangu hata mimi nina hamu na huo umbea.
Ila jamani mbona mimi sioni notifications? Tokea mchana nikiingia sehemu kama hivi nakuta mtu kaniquote lakini kwenye notification sioni chochote!
Au kwako hali ikoje diva? Ni kwa kutumia app lakini.Kwenye web ndio naziona hizo notifications.
Yani nahamu yakumjua huyo aliye kua anasumbua watu humu na ushabiki wake wa maandazi kuliko maelezo. Ndo apate fundisho kusumbua wengine na multiple id's zake.
Mwenzangu mwenyewe notification sizioni pia ingawa unakuta kuna mtu kaniquote na imeanza mchana hyo.
Kumbe ni wote? Basi tusubiri tatizo likizidi tuwape taarifa mods maana hii ni kero sasa.
Yani hata ulivo ni quote sa ivi haijaonyesha notification yoyote.
Sitaweza kulala bila kuwatajia huyo mtu jamani....nifanyaje pm imegoma....ila nimegundua mbinu mpya ya kuwatajia uyo mtu bila mtu kujua mpo tayari???
Nipeni code za kumpigia kura Kiba kwenye tuzo za watu.
London thing Diamond Platinum mtasubiri sn
Kule kwenye thread yenu kumebuma? Karibu sana hapa ndio mtakuja.
London thing Diamond Platinum mtasubiri sn
Sitaweza kulala bila kuwatajia huyo mtu jamani....nifanyaje pm imegoma....ila nimegundua mbinu mpya ya kuwatajia uyo mtu bila mtu kujua mpo tayari???
Sasa mambo ya domo yanatuhusu nini kutuletea huku si apeleke kwenye Uzi wao ningekua na uwezo ninge delete.