Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Haya hayaaaa jamani yule mfalme wa BET aliyejidai hana shida na tuzo za KTMA karamba mwereka mwaka huu.Wamechaguliwa Sauti Soul tu E.A nzima!
Ndio maana wahenga walisema usitukane mamba kabla haujavuka mto lakini kijana akaona yeye ameshavuka ziwa anaelekea kwenye bahari nini mto? (KTMA).
Na mashabiki wake wakampamba kwa maneno mazito mazito kuwa yeye ameshavuka border hana haja ya hivi vituzo uchwara bali aangalie mbele kwenye BET n.k
Sasa leo sijui watamuambia nini.
 
Ww leo ndo nimejua una akili ndogo sn yaan nimekudharau last yr walikuwepo davido, mafikizolo, tiwa savage, toona, diamond n sarkodie je nani karudi tena kwny nomination za bet kati ya hao wa mwaka jna zaidi ya sarkodie davido alishda vp ume muona kwny nomination diz year shut up haujui chochote kuhusu bet awards ww we endelea kuongelea ktma c bet u know nothing
 
Wiz kid toka nigeria kanza kujulikana 2009 alikuwa hajawahi pata nomination ya bet awards kapata this year ndo kapata nomination ila diamond aliipata nomination kabla yke japo hakupata hata p.square hawajawahi kushinda bet awards zaidi ya kupata nomination 2010 jiulize africa kuna artist wangapi hadi wakuchague mtz kwnd bet awards halafu kaa chini mjithamani n msanii unae mshabakia cjui nani nenda kamuhoji atapata lini nomination ya bet award
 
Sikiliza wewe mpumbavu.Sikujiunga JF nikitegema kupata heshima kutoka kwako.Uwe unaniheshimu na hata usiponiheshimu havinisaidii chochote as long as havinipi mkate wa kila siku.Wewe baki na heshima yako tu wala sijakuomba.
Halafu mimi naandika ninachojisikia, sijawahi kusema chochote kwa shinikizo la yeyote humu na wala haitokaa itokee ndio maana siogopi kusema chochote kwa kuhofia watu watanichukulia vipi.
Halafu acha kunifuatilia, tokea juzi nakuona tu.You ain't my type, you better leave me alone.

Hahahaaaaa wacha weeeeeee......
 
Hamna haja ya kubishana na mtu tako kama wew...coz upo kazini na new Id kwa ajili ya kiba...sasa kaje na Og id yako ndo utajibiwa...
Pakashume wewe
 
Basi jua ww n kilaza nikufatilie wapi y should i follow a negro hata familia yng itanitenga ivi ww hapo jua kuhusu bet unajiona ume andika point yoyote kweli a negro will always be a negro so u think am about to pursue you haaah uki kua utaacha kumbe hadi leo unawaza kutongozwa
 
This is my real i.d pussy this me ryt here no fake i.d hapa kwanza vp mchana umekula au ndo pasi ndefu hadi ucku l.o.l halafu kapige mswaki ndo uje kubishana na mie
 
Haya hayaaaa jamani yule mfalme wa BET aliyejidai hana shida na tuzo za KTMA karamba mwereka mwaka huu.Wamechaguliwa Sauti Soul tu E.A nzima!
Ndio maana wahenga walisema usitukane mamba kabla haujavuka mto lakini kijana akaona yeye ameshavuka ziwa anaelekea kwenye bahari nini mto? (KTMA).
Na mashabiki wake wakampamba kwa maneno mazito mazito kuwa yeye ameshavuka border hana haja ya hivi vituzo uchwara bali aangalie mbele kwenye BET n.k
Sasa leo sijui watamuambia nini.
ayaaaaaaa kudadadadekiiiiii
 
Basi jua ww n kilaza nikufatilie wapi y should i follow a negro hata familia yng itanitenga ivi ww hapo jua kuhusu bet unajiona ume andika point yoyote kweli a negro will always be a negro so u think am about to pursue you haaah uki kua utaacha kumbe hadi leo unawaza kutongozwa

Hahahahaaa aliyekuambia anawaza kutongozwa ni nani? Halafu nitongozwe na taahira kama wewe si nitajiona nina nuksi jamani? Sina shida ya kutongozwa maana siko hapa kwa sababu hiyo.
You are too low kiukweli hadi naona aibu kubishana na wewe ndio maana nikakuambia you ain't my type.Uwezo wako wa kufikiri na kupambanua mambo ni mdogo sana.Hata kujenga hoja tu huwezi.
Narudia tena, LEAVE ME ALONE.Sitokujibu chochote kuanzia sasa.
 
Haya hayaaaa jamani yule mfalme wa BET aliyejidai hana shida na tuzo za KTMA karamba mwereka mwaka huu.Wamechaguliwa Sauti Soul tu E.A nzima!
Ndio maana wahenga walisema usitukane mamba kabla haujavuka mto lakini kijana akaona yeye ameshavuka ziwa anaelekea kwenye bahari nini mto? (KTMA).
Na mashabiki wake wakampamba kwa maneno mazito mazito kuwa yeye ameshavuka border hana haja ya hivi vituzo uchwara bali aangalie mbele kwenye BET n.k
Sasa leo sijui watamuambia nini.

Hahaaaaa loh unaambiwa usitukane wakunga uzazi ungalipo. Mashabiki wanamvimbisha kichwa eti aende tuzo za mbele Bongo KTMA haina hadhi yake wanampoteza dogo.Charity begins at home sasa yeye kazi diss tuzo hadharani akijiona kakua sasa yako wapi. Aseme za huko ni mbovu kama alivosema.All the best to Sauti Soul.
 
Hamna haja ya kubishana na mtu tako kama wew...coz upo kazini na new Id kwa ajili ya kiba...sasa kaje na Og id yako ndo utajibiwa...
Pakashume wewe

Achana na huyo taahira anayehangaika kuniquote mara kibaaao.Halafu analoongelea ni tofauti na nililoongelea mimi sasa ujue watu wana utofauti katika uelewa.
Ananiletea hadi akina WizKid ambao mimi hata sijawaongelea katika post yangu.Si kuchanganyikiwa huko?
Hahahahaaa ukiona hivyo ujue sindano imeingia hadi kwenye mfupa.
 
Wiz kid toka nigeria kanza kujulikana 2009 alikuwa hajawahi pata nomination ya bet awards kapata this year ndo kapata nomination ila diamond aliipata nomination kabla yke japo hakupata hata p.square hawajawahi kushinda bet awards zaidi ya kupata nomination 2010 jiulize africa kuna artist wangapi hadi wakuchague mtz kwnd bet awards halafu kaa chini mjithamani n msanii unae mshabakia cjui nani nenda kamuhoji atapata lini nomination ya bet award

Hahahhahaha mwaka huu mtalamba ukwaju nyi si mlijidai mnawalambisha watu ndimu. Nilishasema naliona anguko lake
 
Achana na huyo taahira anayehangaika kuniquote mara kibaaao.Halafu analoongelea ni tofauti na nililoongelea mimi sasa ujue watu wana utofauti katika uelewa.
Ananiletea hadi akina WizKid ambao mimi hata sijawaongelea katika post yangu.Si kuchanganyikiwa huko?
Hahahahaaa ukiona hivyo ujue sindano imeingia hadi kwenye mfupa.

Una mtindio wa ubongo ww si bure we dada plz plz naenda hospitali mapema kabla hakija kuuathiri km una ela nitakutibia mie huo ugonjwa
 
Hahaaaaa loh unaambiwa usitukane wakunga uzazi ungalipo. Mashabiki wanamvimbisha kichwa eti aende tuzo za mbele Bongo KTMA haina hadhi yake wanampoteza dogo.Charity begins at home sasa yeye kazi diss tuzo hadharani akijiona kakua sasa yako wapi. Aseme za huko ni mbovu kama alivosema.All the best to Sauti Soul.

Hahahahahaaa hii siku ya leo ni nzuri sana kwangu.Ooh hakuna wa kunishusha kama mnadhani mkininyima hizo tuzo zenu mtanishusha.
Haya huko BET tena vipi? Ni nani anayemshusha huko? Jamani haya mambo sio kuyachukulia kwa pupa tu na kulewa sifa, busara ni kitu cha muhimu sana.
Haya jamani tuungane E.A nzima tuwapigie kura Sauti Soul maana wenzetu walitusapoti sana kwa Idriss kule BBA.Ndio wakati wetu sasa kuwalipa wenzetu fadhila.
 
Hamna haja ya kubishana na mtu tako kama wew...coz upo kazini na new Id kwa ajili ya kiba...sasa kaje na Og id yako ndo utajibiwa...
Pakashume wewe

Haya matusi na tambo zenu mwaka huu hamtaona tuzo, labda ktma kidogo. BET ndo hiyooo imewapita, hahha mna hasiraaaaaaaa. Mlikuwa mkimdanganya sana domo ohhhhhhhh wewe ni wa kimataifa achana na ktma thubutuuuuu hahhahah
 
Sorry cute b hii msg ilikuwa inaenda kwa kendric, naona kavurugwaaa
 
Hahahhahaha mwaka huu mtalamba ukwaju nyi si mlijidai mnawalambisha watu ndimu. Nilishasema naliona anguko lake

Hahahahahaaa leo nina raha sana.Haijapita hata wiki tayari ndimu zimewarudia wao.
Tuwapigie kura Sauti Soul jamani, vijana watutoe kimasomaso E.A.
 
Back
Top Bottom