Yaaaaani khaaaaaaah! Namshabikia kwa vingi ujue, teh teh teh
Kijana ana sauti
Ana nyimbo tamu
Ana nidham sio kama fidodido....
Heheheeeeee kiboko ya domo anayetumika kunyamazishia watoto kwa domo lake...maana linatisha mtoto lazma anyamaz tuu

Hata zari anataman angekuwa na hiki kitu, hHaha! Dai kapanik baada ya wema kupost alikuwa wap siku zote, sshwain kabisa, jaman pigeni kura sio maneno tu humu
Vipi ile taarab imeshakufa mnataka achia nyingine hahahhahahaha? Jamaa anaisha kila.siku anarelease na zinaisha mvuto fasta, sisi bado tunacheketua hadi.kieleweke hahahhha hamna kuisha mvuto
Kwa wale ambaya whatsup zimegoma tunaweza kutumia sms ambayo ni sh 45 per sms tukapiga kura kwa kiba...
Pia kama una namba tatu unaweza pia ukatumia namba zote kumhakikishia kijana wetu ushindi... fanya hivi
Nunua vocha za mia tano tatu ambayo ni ya tigo airtel. Na voda....
Ingiza vocha kwa kila line.....
Afu anza kupiga kura ukimaliza kweny line hii amia nyingine....
Ukimaliza hapo malizia na TZW11A hivyo hivyo kwa line zote....
Ukimaliza hapo hama nenda kwenye www.tuzozetu.com
Apo sasa piga kura kadri ya uwezo wako cheza na kubadilisha namba za sim na email ata ya kutunga....
Kwa nini tufanye hivyo mara nyingi?
Kwa sababu yetu na wazazi wetu waliobanwa na majukum ila wanamkubali King hivyo tunawasaidia...
Handsome boy himself
Hahahahaaaa taarab imebuma siisikii kokote! Huyu jamaa siku zake zinahesabika tu.
Ndio maana kaanza kupanic.

Uwiiiiiii! Jamani jamani huyu Kiba huyu! Ngoja ninyamaze tu.
Hapa naenda kulianzisha huko instagram....ayayayayayaaaaa.
Hahahahaaaa taarab imebuma siisikii kokote! Huyu jamaa siku zake zinahesabika tu.
Ndio maana kaanza kupanic.
He ha ha ha mtu mwenye akili zake timamu hawezi kushangaa maana mambo yaliyomo humo ndiyo yanayowavutia akina matumbo.
Nina uhakika wewe hulali bila kuangalia hii video...
Vipi mbona sijakuona ukisema chochote kutokana na tamko la diamond jana?
Nimeona watu wengi hawaujui ukweli ila wamakimbilia hitimisho, wengine wamepata sehemu ya kumalizia hasira zao za teams, so sometimes ni bora kuwaacha watu wajionee wenyewe muda ukifika...Ila Diamond yupo sahihi asilimia zote, muziki umekuwa na faulo nyingi za makusudi. Kauli ya Dai inawakilisha kundi kubwa haijatoka kwa bahati mbaya au kukurupuka.
Ngoja niyaheshimu mawazo yako,sioni haja ya kubishana.
Umejibu vyema, Wht did you expect?
Mhhhh hebu rudia tena.Mimi mbona iko fresh tu?
Umehakikisha namba unayotuma ni sahihi?
Je profile yao wanaonesha KTMA?
Mi wamenigomea both kwa sms na whatsApp ila nimevote online.