Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nifah honey have you voted today? Alafu miss lincoln na Viol cjui wamepotelea wapi? Wameadimika kweli!!

Mimi napiga kura za tuzo za watu tu na kupiga kwa sms kwenye KTMA.
Sijui kwanini siwezi kupiga tuzo za kill online! Hawa watu wangejipanga kama bongo five ingekua poa sana. Ms.Lincoln si ana ban?
 
Last edited by a moderator:

Weeeeeh! Dont tell me, ni sababu ya huu huuu umbea? Basi mie nikashangaa mbona amepotea hivyo!! Online mie walaa ckuwahi kujaribu tokea nilipoanza kwa sms
 
Last edited by a moderator:
Kila cku mnapigia kura ktma jamani lini mtapigia kura channel o au afrimma awards au bet awards au MTV awards ivi hamchoki kuwa local mwaka wa 10 n kitu huu karibuni kwa Diamond platinumz chibu dangote mond bin laden Raisiiiiiiiiiii
 
Mimba changa zina balaaa! Sasaaaaaa pilipili usioila yakuwashia nini labda, kwani hizo kura unapiga wewe??? Tunakuomba vocha?? Yaani mna viherehere mke wa balozi kasingiziwa!
 
Wewe nae sijui umetutokea wapi kama jipu la....... habari za huyo domo sijui nani ako huko huko huku ni kwa mfalme kiba na tuliopo ndani ni ma prince na ma princes umesikini wako peleka huko huko.....
Na mwaka huu kiba amewakomesha na anazidi kuwakomesha hahahaaaaaaaa
 
Shost hiyo sio mimba changa tuu na minyoo A.K.A safura zina mtekenya ma.ta.ko.n na ndo maana wana vimbele mbele kama mbuzi wa mashineni.....
 
Wewe nae sijui umetutokea wapi kama jipu la....... habari za huyo domo sijui nani ako huko huko huku ni kwa mfalme kiba na tuliopo ndani ni ma prince na ma princes umesikini wako peleka huko huko.....
Na mwaka huu kiba amewakomesha na anazidi kuwakomesha hahahaaaaaaaa

Ulikuwa n ushauri tu n najua ume kuingia maana nimeongea facts c uongo so mfikishieni king wenu
 
Wew mpaka saivi umefanya nini cha maana ili umshauri kiba?...kamwambie huyo bosi wako ajitahidi kuiga mfano wa kiba....kiba unazani ataiga nini kwa domo?
Kiba wakimbizeeeeeeeeeeeeeeeeee wakikereka wakaogee upupuuuu
 
Hivi kiba kafanya nn kutangaza mziki wetu international level look at diamond doing collabo with big Africa artists davido, bracket, tiwa savage, inyanya, p square, waje, a.k.a, mafikizolo yemi alade n many more are still asking for collabo you should feel proud for diamond he his representing Tanzania
 
We don't care about Domo as you do. Who is he by the way. Maybe he is representing ua a.s.s hole and not Tanzania as you think. Mind ua own business with big domo like crocodile mouth mxiiiiiiiiiewww pyeeeeeeeee leave Ali k 4 real forever.
 
Kweli watz hatuthamini vyetu mpaka vitoke nje!! Huu ukiritimba huu, wao waliomba collable na nani tz ili kuutangaza muziki wao? Mbona wao unajitangaza tu? Kwanini tusiutangaze wetu bila kutumia migongo ya wengine? Anyway ndio hivyo tena aloturoga alishakufa basi hatuaguliki ng'oooo!!!
 
Hivi kiba kafanya nn kutangaza mziki wetu international level look at diamond doing collabo with big Africa artists davido, bracket, tiwa savage, inyanya, p square, waje, a.k.a, mafikizolo yemi alade n many more are still asking for collabo you should feel proud for diamond he his representing Tanzania

Wewe domo kakutuma humu? Mbona mna tapa tapa ivyo? Kafanya colabo na nyokolo na nyokolo ni non of our business.... afu nishajua kiba anawapa homa sana coz kila mtu anajua daimond kafanya nini we dn need more explanation.
Tunatambua kila alichofanya domo na ndo maana tumemlinganisha viwango vyake na kiba akapigwa gep....
Wew unazani nani hajui domo kafanya collabl na nan adi uanze kutuambia..
Sasa kwa taarifa yako ata angefanya collable na rihhana au lilwine bado hanusi kwa kiba
Heheheeeeeeeeee mmeoga bila sabun babuuu
 
Hyo mimba changa ya Kiba inakusumbua kweli kweli nitakuletea ndimu nyingi za kutosha na bado mwaka uu utasanda sana hadi kuja kwenye Uzi wake.

Huwa nashindwa kuelewa ule uzi walifunguaga wa nn ikiwa bado stress zao zote wanakuja kuzimalizia humu, sasa km huoni cha maana kwa kiba c utulize mshono sie tulioviona acha tuvishabikie, huyu mwanamke km co mimba changa basi yupo mwezini.
 
Yani nashindwa kuelewa kwa kweli Uzi wa kiba watu povu LA omo lawatoka kuliko bahari. Kiba wa watu wala hashindani na mtu wao wanapaniki wamemtukana Mpaka wamechoka lakini wapi.Hawataki hata mwenzao atoe wimbo eti anashindana na kitorondo.
Mwaka huu watajibeba sana tu . Haahaaa mwezi mchanga unaqasumbua mno kila wakimkumbuka Kiba wamuache.
 
Back
Top Bottom