Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Instagram tangu jana kumechafuka hatari, yani full Vote, vote , vote, kila ukifungua page ya huyu mara ya huyu wote vote, balaa yani watu wameshakubali matokeo, ngoja nimalizie hivi NO PANIC, NO COLABO, NO SCANDLE, lakini miguu juu kwa nyimbo mbili tu
#mwana #chekecha
Habari wanayo, kimyaaaaa
 
Mbona mwaka jana hakusema? Mbona ule mwaka alioshinda tatu hakusema ? Mbona belle 9 hakupata tuzo hakusema? Jamaa hana jipya kiukweli, kuna mfalme wa pop alikua anaitwa michael jackson tafuta habari zake, lakini leo hatunae na tayari tumemsahau, Dunia malito, mapito, mapito

Blue - Kaamua kusema mwaka huu kwa kuwa anayo sababu ya kusema.

Red - Msimalize maneno jamani,naona mmeungana team zote na mmeshajipa ushindi tayari ila mkumbuke Diamond anaweza fanya maajabu mkashangaa. Nafikiri mnatambua yupo kwenye category 9 msishangae akakomba zote na team zote nne mkajizika rasmi kabisa.
 
Diva Beyonce your words kwenye ile thread ya Ivandon are well noted.
Thanks for the compliment

Sijakujibia kule coz mtaa wa pili naona wanahorojoka tu yaani wao kwao kitakachofanywa kwa kiba kama ni kizuri basi kinalenga kumshusha mtu wao......duh kazi wanayo kwakweli!!
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli ma dia ndo mana hata mtu wao alipoona hali ngumu akapiniki na kuona anashushwa hayo ni maneno ya mkosaji na ya mtu kujiona ana haki kuliko mwingine.Selfishness inawasumbua tu sasa mtu kum appreciate Kiba eti ana uchungu na mkewe really? Huu ni mwanzo tu the best is yet to come for Ali Kibas.
 
Yaani kil afanyacho mtoto wa watu kinawauma, watakiwekea mabango hatari, alafu wao kwa kumtetea sasa hadi kwenye -----!!! Mie nawashangaa wanadai kiba hawasumbui ila wanatumia energy kubwa mnooo kumdiss, duuuuuuuuh!!! Wamuongeleaje mtu asokuhusu km sio anakunyima usingizi!! Bloodyfools.
 
Last edited by a moderator:
daimond kajua amesandA kwenye tunzo

Umeona eeh? Alisema amekaa muda mrefu kwenye game hii michezo anaijuia panapo namna anajuaga mapemaaaaa....
Hana lolote atulie tu.Huu mwaka ni wa King Kiba bwana, asiyetaka asitake tuuu.
 
Umeona eeh? Alisema amekaa muda mrefu kwenye game hii michezo anaijuia panapo namna anajuaga mapemaaaaa....
Hana lolote atulie tu.Huu mwaka ni wa King Kiba bwana, asiyetaka asitake tuuu.
kwa muda gani labda hajui ht hao fa na dully ilikuaje ht kujitoa
 
Ni kweli ma dia ndo mana hata mtu wao alipoona hali ngumu akapiniki na kuona anashushwa hayo ni maneno ya mkosaji na ya mtu kujiona ana haki kuliko mwingine.Selfishness inawasumbua tu sasa mtu kum appreciate Kiba eti ana uchungu na mkewe really? Huu ni mwanzo tu the best is yet to come for Ali Kibas.

Shangaeni na nyie jamani.
Naona Kiba anaingizwa uchochoro usiomuhusu

Yaani kil afanyacho mtoto wa watu kinawauma, watakiwekea mabango hatari, alafu wao kwa kumtetea sasa hadi kwenye -----!!! Mie nawashangaa wanadai kiba hawasumbui ila wanatumia energy kubwa mnooo kumdiss, duuuuuuuuh!!! Wamuongeleaje mtu asokuhusu km sio anakunyima usingizi!! Bloodyfools.
 
Hivi jameni tunavote mara moja tu?
Au ni mimi tu ndo vinanigomea? Kwa wale wa online

Wewe ulisema utatufundisha kuvote online hadi leo tunakusubiri hujatoa tamko lolote!
Huko WhatsApp nilishamaliza kitambo sana ila ndio hawakubali kurudia.Sms tayari nako bado online tu.
Hebu jaribu tena wewe itakua ile siku walizingua tu leo wakakubali.
 
Hahahahaaa nimecheka sana aisee

Yaani kuna watu wanatamani majanga yamkute kiba mpaka aombe poo, na ikibidi asishabikiwe hata na mende, just emagine zile promo angepigiwa ungo! Yaani zingemwagika sifa tusingelala, ila kwavile ni kiba basi kuna watu matumbo hayatulii.

Just emagine hadi kuvamiwa na kuibiwa kiba watu kimewauma, kwavile washazoea kiki za kipuuzi wao kila kitu kwao ni kiki tu!! Akipatwa na baya linawauma, jema linawauma wht else do you want??
 
hili nalo neno hili ujue yani anachofanya yy mafuta ht km kina nnya

Yaani, kiba anawawewesesha balaa, sasa km ni vile wamuitavyo(maana wamemuita majina yote) kwann watumie nguvu nyingi sn kumkandamiza na kumsemea kila baya!!! Mie ngoja nijipigie kura tu wao waongee weeeeee ila Kiba is the best and he ll always be.
 
Back
Top Bottom