Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Mimi kama kawaida nasema juhudi za ndugu JK nitaanza kuzisemea baada ya miezi 6 ya yeye kuwa ofisini.Nina sababu moja kubwa nayo ni kwamba bado hajaanza kazi rasmi maana anaendelea na ahadi kama vile bado kuna uchaguzi unaokuja mwezi ujao.Hata aliyo yafanya bado ni machache sana hajagusa makubwa kama Mikataba ambayo tayari serikali yake inaanza kupata kashfa kwa kuwa na washikaji wake wengi na leo wanaenda kuangalia mikataba ya madini .Kwa nini JK kama yuko serious na mikataba hiyo asipeleke Tume huru na yenye wataalam hata wa kisheria kujua yaliyo jiri na watu wa Takuru na pia watu wa dini iloi kuhakikisha hakuna kuhongana na kufichiana ubaya ?Hili si swala dogo hata kidogo na hii ni huge test kwa JK .
Hahaaaa ndo manake mana pale chini kamalizia hamna wa kumshusha kwenye kilele cha mafanikio yao nikiangalia hata kipindi cha fiesta alichozomewa team yake wakawa wanadai clouds iliandaa vijana kumzomea kumshusha kwahyo yeye ndo anajiona best na ana staili kuliko wote akiona ushindani anataka kushushwa kwani yeye ni nani? Kanishangaza mno kwa kauli yake hyo mana kila tuzo viulalamishi huwa haviishi. Hajatumia busara kuandika hivo ajiamini tu ana safari ndefu anatukana mamba kabla ya kuvuka mto.