Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hebu ngoja nijaribu hii njia.

Yeah ni cheap tu, dogo alikuwa na kamia5 akajaribu, to his suprise kashangaa kapigia category zote ndio akanistua, acha nipige kwa fujo
 
😀😀😀😀😀
Jamani mmesikia diamond alichokisema kuhusu KTMA? Kaona maji yanazidi unga kaanza kujihami.
Na badoooooo....
 
Miaka yote aliyokuwa akizizoa hakuona kuna tatizo now ndio anaona? There is something missing somewhr, this dude anajua kucheza na akili za watu aisee!!!
 
Kasemaje tena huyo domo naye .

Eti ooh sijui Mo Music hajaonekana kama ni msanii bora Chipuziki, na yale mambo ya Yamoto band kupata nominations mbili na Rich Mavoko kukosa kabisa.
Bila kusahau video ya Ndagushima.
Hahahahaaa huyu hana lolote keshaona mziki wa Kiba hauwezi.
 
Miaka yote aliyokuwa akizizoa hakuona kuna tatizo now ndio anaona? There is something missing somewhr, this dude anajua kucheza na akili za watu aisee!!!

Umeongea kitu cha maana sana! Hivi kweli miaka yote alivyokua anazizoa hakuona kua yeye sio BORA kuliko Belle9? Hata Barnaba tu hamuwezi.
Kisa tuzo hizi kaona Kiba kapata nominations nyingi ndio anajishaua!
 
Eti ooh sijui Mo Music hajaonekana kama ni msanii bora Chipuziki, na yale mambo ya Yamoto band kupata nominations mbili na Rich Mavoko kukosa kabisa.
Bila kusahau video ya Ndagushima.
Hahahahaaa huyu hana lolote keshaona mziki wa Kiba hauwezi.

Alikuwa wapi siku zote hizo alivokua anachukua tatizo atajibeba mwaka huu . Hzo sababu alizotoa hazi make sense anatafta visingizio tu tumeshamjua janja ya nyani huyu anaogopa tuzo tu huyu nadhani mambo ya fiesta yalimtisha sa ivi ana dis mana yeye bila kiki ya k huwa hajiamini.
 
Yaani huyu mtoto ni mnafiki jamani, hv barnaba anamfikia hata theluthi? Hakuyaona hayo aje kuyaona leo anapoona ana real competation?!! Hell noooooo, awachezee akili hao hao wa...... wenzie.
 
Alikuwa wapi siku zote hizo alivokua anachukua tatizo atajibeba mwaka huu . Hzo sababu alizotoa hazi make sense anatafta visingizio tu tumeshamjua janja ya nyani huyu anaogopa tuzo tu huyu nadhani mambo ya fiesta yalimtisha sa ivi ana dis mana yeye bila kiki ya k huwa hajiamini.

Ndio unisaidie kushindwa kushangaa!!! Akwende huko na unafiki wake, alipozizoa zote mwaka jana ina maana hakuona hayo madhaifu???
 
Itafahamika... Pamoja na diamond kuzipondea still atachukua tu kama Torati inavyosema... Himizaneni mumpigie ally huenda atapata
 
View attachment 250591
Kiba namkubali lakini hajui kucheza na akili za wapenzi wa muziki
Hapa Chibu tayari kwa post hii ameisha iba masikio yetu, na tention zote zita hamia kwake hata kama wimbo mbaya automatic utaupenda tu

Jamaa yangu King bado anambwela mbwela na atoke vipi na video ya cheketua.........real?
 
Ndio unisaidie kushindwa kushangaa!!! Akwende huko na unafiki wake, alipozizoa zote mwaka jana ina maana hakuona hayo madhaifu???

Anatafta visababu na hajiamini mana naye huwa mpenda kiki za k last year alichukua karibia zote akachekelea mwaka huu ameona kigumu anatafta sababu eti tuzo zinashusha muziki kisa kaona Kiba anapewa promo insta apeleke huko.
 
Eti ooh sijui Mo Music hajaonekana kama ni msanii bora Chipuziki, na yale mambo ya Yamoto band kupata nominations mbili na Rich Mavoko kukosa kabisa.
Bila kusahau video ya Ndagushima.
Hahahahaaa huyu hana lolote keshaona mziki wa Kiba hauwezi.

Heheheee acha nicheke mie....yaani huyu Daimond simpendi maana ni mnafiki sana yaani afu kakaa kiswahili swahili sasa asubiri aone
 
Anatafta visababu na hajiamini mana naye huwa mpenda kiki za k last year alichukua karibia zote akachekelea mwaka huu ameona kigumu anatafta sababu eti tuzo zinashusha muziki kisa kaona Kiba anapewa promo insta apeleke huko.

Hahahaaaaaa! Yaani imebidi nicheke, so anataka kutuambia kili wanataka kumshusha??? Ni mwenye akili fupi km zake ndio ataungana na huo upuuzi wake, nani asiyejua kuwa hakuna tuzo ziczo na lawama?? Hakulaumu kabla why now? Basi akatae tuzo zoteeeeee maana hata ile wanaija waliilalamikia, na akumbuke kiwa wanaochagua hizo categories ni watu pia.
 
View attachment 250591
Kiba namkubali lakini hajui kucheza na akili za wapenzi wa muziki
Hapa Chibu tayari kwa post hii ameisha iba masikio yetu, na tention zote zita hamia kwake hata kama wimbo mbaya automatic utaupenda tu

Jamaa yangu King bado anambwela mbwela na atoke vipi na video ya cheketua.........real?

Wapenzi wa mziki si ndo sisi mkuu na tunamkubali kinoma anatuburudisha haswa.... sema nini ujue kiba hayupo after money and showof that y...ila akiamua ku show of pia anaweza
 
Back
Top Bottom