Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

ImageUploadedByJamiiForums1428303821.384305.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1428303856.937164.jpg
Jana Dar Live biashara ilifanywa kama ivi.
Source:IG page ya Kiba.
 
Familia ya ukweli hope mko poa kama kawaida. Maisha ni magumu sana bila kusikia toka kwenu.
Walau mgeonja hali ya kukosekana hapa kwenye thread hii inavyoumiza mngeweza kujua nilivyokuwa.
Na kubwa zaidi kukosa kumsoma humu kwenye thread mpenzi wangu nifah.
Nafurahi kuwasoma tena, nimeanza kusoma thread nzima tangu nilipoiacha.
Nawapenda sana watu wangu.
Ova
 
Last edited by a moderator:
kiba wa kawaida sana huwez mlinganisha hata na 20% au barnaba kwa utunzi.
kuhusu kuvaa kupendeza anajitahid kwa level yake ila hawez fikia level ya jux,diaomond,phd.........pole
 
kiba wa kawaida sana huwez mlinganisha hata na 20% au barnaba kwa utunzi.
kuhusu kuvaa kupendeza anajitahid kwa level yake ila hawez fikia level ya jux,diaomond,phd.........pole

Nikushauri kitu? Jaribu kua mkweli usipende kupinga kila kitu.Halafu hiyo sumu ya chuki iliyo moyoni mwako itoe haraka itakuangamiza!
 
napenda kuwashauri wasanii wengine igeni mfano wa KING KIBA tungeni nyimbo kali kama za kiba, shoo kali kama za kiba.kupiga pamba kama kiba, kujipenda kama kiba, hili mpendwe kama kiba. hongera sana KING KIBA kaka yao. wataelewa tu
Unachokosea nn kaka ww upo nyuma na wakati ulitakiwa uandike haya au ulete huu uzi miaka mitano au sita iliyopita tungekuelewa,kiba alikuwa mfano miaka hyo sasa inamlazimu yeye amuige mwenzie kwa kila anachofanya cos yeye hakuwa kiigizo kizr,alipoteza nafasi ya kuigwa longtime,sasa ina mcost inabidi amuige mwenzie tu utake ndio hvyo usitake ndio hvyo,kiba anapita alipopita mwenzie,na hata mwenyewe kiba kimoyo moyo anamkubal dai na anajua wapi aliteleza
 
Back
Top Bottom