Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaa.Na kweli nasubiri tu na mimi nilipize kisasi, haiwezekani.
Kama wewe hua hukaribishi watu ikishapita week ndio unakuja hapa na mapicha yako.

Teh Teh wengine pasaka haituhusu labda Eid na ntakuwa bukoba labda nikubebee hawa wadudu na ndizi
 

Attachments

  • 1427562331242.jpg
    1427562331242.jpg
    107 KB · Views: 65
Sitaki kuamini kama wewe sio Christian!
Uwiiiiii!Hao wadudu nimewahi kuwala ni watamu lakini siamini niliwezaje kuwala.Ila huyo rafiki yangu aliyenipa alinishawishi sana, dah!

Mie wamenishinda kabisaaaaaa!!! Hao wadudu yaani nikiwaona cjui nawaza nn yaani, ctaki hata kufikiri
 
Sitaki kuamini kama wewe sio Christian!
Uwiiiiii!Hao wadudu nimewahi kuwala ni watamu lakini siamini niliwezaje kuwala.Ila huyo rafiki yangu aliyenipa alinishawishi sana, dah!

Teh Teh kwanini hutaki kuamini?
 
Nawatakia Pasaka njema Mdakuzi Matola atoto geniveros miss strong Viol ( Ms.Lincoln wewe sijakusoma vizuri kama ni Alshaabab au ant Baraka..lol)
Msherehekee kwa amani guys....
Love ya'll.
[emoji8] [emoji8] [emoji8]

Ahsante sana my dear! Nawewe pia, karibu sana kesho nitakuwa pale Seacliff kuanzia saa sita mchana mpaka usiku mzito. atoto pia atakuwepo na usijali gharama zote juu ya shemeji yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom