Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ahsante sana my dear! Nawewe pia, karibu sana kesho nitakuwa pale Seacliff kuanzia saa sita mchana mpaka usiku mzito. atoto pia atakuwepo na usijali gharama zote juu ya shemeji yako.

O.M.G! Mimi nitakuja kula sea food my dear.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana my dear! Nawewe pia, karibu sana kesho nitakuwa pale Seacliff kuanzia saa sita mchana mpaka usiku mzito. atoto pia atakuwepo na usijali gharama zote juu ya shemeji yako.

heee mi sikaribishwiii....🙁🙁🙁🙁
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana my dear! Nawewe pia, karibu sana kesho nitakuwa pale Seacliff kuanzia saa sita mchana mpaka usiku mzito. atoto pia atakuwepo na usijali gharama zote juu ya shemeji yako.

I see!!..... hata tunaokula kwa macho tunakaribishwa?
 
Last edited by a moderator:
Wapi? Kule kumchagua King kuingia kwenye list ya watakaogombea Kill Music Awards kwa kutumia WhatsApp naona complication tu.Ila nina uhakika atapita tu.
Au wewe unaongelea wapi?

nipe no za huko kwa whasap kule kwa tuzo za watu
 
Hata sikumbuki my dear nakumbuka kuna post iliwekwa huku nikataka kujaribu nikaona taabu nikaacha.
Hizo za watu tunapigaje? Bila shaka atakua kaweka insta page yake.
 
Back
Top Bottom