Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wakati mwingine mtu anaweza akawa anakukubali sana kwa namna unavyotoa maelezo na ufafanuzi hapa juu ya jambo fulani.
Hivyo, unapokuwa kimya muda mrefu hutumia njia mbalimbali kutaka utoe ufafanuzi wa jambo lolote, ikiwemo kukuponda au kukuchokoza.
Nawaambia kweli, hii ni moja ya thread zenye post zenye akili na ndio maana wengi wa watu wanaoifungua hawaondoki bila kuchangia.
Linganisheni thread hii na ile ya jirani zetu ipi yenye watu wengi walifungua na kuipuuza kwa kutoandika chochote?
Thread yenye maana watu hawaishii kuifungua na kutoandika chochote, hivyo idadi ya walioifungua huwa haiko mbali sana na waliochangia.
Kwa hiyo wala msiwakasirikie wakija hapa na kukejeli, naamini wanataka madini kutoka kwetu ili yawasaidie kwenye maongezi kuhusu muziki huko vijiweni kwao.
Nafurahi kuwa mmoja wa familia ya thread hii.
Ova
 
Unachokosea nn kaka ww upo nyuma na wakati ulitakiwa uandike haya au ulete huu uzi miaka mitano au sita iliyopita tungekuelewa,kiba alikuwa mfano miaka hyo sasa inamlazimu yeye amuige mwenzie kwa kila anachofanya cos yeye hakuwa kiigizo kizr,alipoteza nafasi ya kuigwa longtime,sasa ina mcost inabidi amuige mwenzie tu utake ndio hvyo usitake ndio hvyo,kiba anapita alipopita mwenzie,na hata mwenyewe kiba kimoyo moyo anamkubal dai na anajua wapi aliteleza

Mmmmh! Lini Kiba aliwahi sema hamkubali Platnumz??? Kuna kitu nahisi kinakuzwa bila sababu ya msingi hapa, mie namkubali sana King Kiba na ana character fulani hivi amazing, i think he is running his own race unless angeshakaa zamaniii ila still he is the best, ingekuwa poa sana kama mngemuacha apumue maana anawapa taabu sn, why the energy?? There is only one answer HE IS THE KING and you know it, hutaki ndio hivyo unataka ndio hivyo,

It took me soo long to comment here, ila namkubali sana Kiba.
 
Kwa fans wanaotumia airtel, jiungeni na vifurushi hivi vya OMG kwa raha zenu mazuzu wanaowaza mb8 wakapimwe akili.
*148*88#ok
 
Attachments

  • 1428599423181.jpg
    1428599423181.jpg
    21.7 KB · Views: 94
  • 1428599441624.jpg
    1428599441624.jpg
    29 KB · Views: 86
Kwa fans wanaotumia airtel, jiungeni na vifurushi hivi vya OMG kwa raha zenu mazuzu wanaowaza mb8 wakapimwe akili.
*148*88#ok
Ngoja na mimi kesho nikanunue line ya airtel maana Tigo wamenichosha sana.
 
Wakati mwingine mtu anaweza akawa anakukubali sana kwa namna unavyotoa maelezo na ufafanuzi hapa juu ya jambo fulani.
Hivyo, unapokuwa kimya muda mrefu hutumia njia mbalimbali kutaka utoe ufafanuzi wa jambo lolote, ikiwemo kukuponda au kukuchokoza.
Nawaambia kweli, hii ni moja ya thread zenye post zenye akili na ndio maana wengi wa watu wanaoifungua hawaondoki bila kuchangia.
Linganisheni thread hii na ile ya jirani zetu ipi yenye watu wengi walifungua na kuipuuza kwa kutoandika chochote?
Thread yenye maana watu hawaishii kuifungua na kutoandika chochote, hivyo idadi ya walioifungua huwa haiko mbali sana na waliochangia.
Kwa hiyo wala msiwakasirikie wakija hapa na kukejeli, naamini wanataka madini kutoka kwetu ili yawasaidie kwenye maongezi kuhusu muziki huko vijiweni kwao.
Nafurahi kuwa mmoja wa familia ya thread hii.
Ova

Is this Mdakuzi or am dreaming? nifah i think bado nina usingizi hebu niambie ni yeye kweli au??
 
Last edited by a moderator:
hivi hapa bongoland kuna msanii gani wa bongo fleva ana sauti nzuri kama ya king kiba? kama una mfahamu msanii yeyote mtaje hapa.
 
Hivi tigo nayo inatoa huduma za Internet? una moyo.

Ndio Matola inatoa.Acha tu nina moyo kwelikweli maana ni shida tupu!Tena umenikumbusha ngoja nikanunue.Nikirudi humu niko ndani ya airtel.
 
Last edited by a moderator:
Ndio Matola inatoa.Acha tu nina moyo kwelikweli maana ni shida tupu!Tena umenikumbusha ngoja nikanunue.Nikirudi humu niko ndani ya airtel.

usisahau bundle la kujiunga nililowaonesha hapo juu maana ni la wajanja wa mjini alifanyiwi promo ni kimyakimya, then ndio unaweka na buku mbili unajiunga na yatosha ya wiki kwa ajili ya airtime dakika 34 na unapata na mb70 na chance ya kuwin Toyota IST.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom