Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,765
napenda kuwashauri wasanii wengine igeni mfano wa KING KIBA tungeni nyimbo kali kama za kiba, shoo kali kama za kiba.kupiga pamba kama kiba, kujipenda kama kiba, hili mpendwe kama kiba. hongera sana KING KIBA kaka yao. wataelewa tu
Hivi kwenu Cinderella ndiyo inafika leo enhhe? Huyo unayemtaja alishazikwa kwenye gemu kitambo sana. Siku hizi kuna kijana anaitwa Diamond wa Platinumz anakimbiza vibaya mno. Africa mashariki kawamaliza sasa hivi anamalizana na Nigeria. Kijana video yake mpya inatazamwa na mashabiki laki moja kwa siku. Hadi sasa video yenye wiki moja YouTube ishatazamwa na watu laki saba. Tuambie huyo Kiba wako ni yupi?