Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Uwiiiiii! Kwahiyo kuchepuka kwenu sio kosa eeh?
Ila bora wewe umechepuka ndotoni...lol atoto akija nitakoma!

Yaani wewe mwanamke wewe! Huyu ex-shemeji yako we muache tu, anajidai ni ndotoni wakati ni halisi kabisaaaaa/masikini roho yangu mie
 
Last edited by a moderator:
Nipo mamito hii dunia tu na majukumu yananipeleka puta, niko busy mpaka najiogopa, miss you bigtime

Wallah nakuapia leo nimekukumbuka sana asubuhi.Ujue nini? Nimekumbuka video ya mwana ya King ilivyotoka tukawa tunahadithiana....lol
 
ndoto haizuiliki,pakuanzia ni hapo kwake,sijui kama huu uchumba wetu utaendelea

We sema tu plan za kunipa kibuti zilikuwepo mudaaa hapa ulikuwa unatafuta sababu tu
 
Yaani wewe mwanamke wewe! Huyu ex-shemeji yako we muache tu, anajidai ni ndotoni wakati ni halisi kabisaaaaa/masikini roho yangu mie

Uwiiiiii! atoto wewe ndio unataka kumuacha Viol muone vile na miwivu yako.Mwenyewe alikataa kumtaja akimhofia mkewe (wewe).
C'mon dear, Viol loves you...
.
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiii! Nisamehe atoto mpenzi. Mimi nimekuita si umeona nilivyokuambia nimekumiss?
Basi Ms.Lincoln ndio akaja kuniponza na umbea wake.

Yaani nyie watoto kwa umbea siwawezi, nitamwambia king awatungie taarabu(teh teh)
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa uwiiii! Ndio maana nimekuita huoni nacheka sasa.Haya shemeji Viol na uje huku utakoma leo.
 
Last edited by a moderator:
Wallah nakuapia leo nimekukumbuka sana asubuhi.Ujue nini? Nimekumbuka video ya mwana ya King ilivyotoka tukawa tunahadithiana....lol

Yaani mie ndio usiseme, niko busy lkn napawaza jf, nasubiri video ya cheketua tucheketue sie kwa raha zetu kwa shida zao
 
Yaani nyie watoto kwa umbea siwawezi, nitamwambia king awatungie taarabu(teh teh)

Uwiiiiii! Usimuambie jamani tusijetungiwa twaarabu siye.
Hahahaaa, chezea twaarabu wewe?
 
Uwiiiiii! atoto wewe ndio unataka kumuacha Viol muone vile na miwivu yako.Mwenyewe alikataa kumtaja akimhofia mkewe (wewe).
C'mon dear, Viol loves you...
.

Hata asipomtaja wht counts ni kuwa alichepuka, huyu Viol ananitaftia sababu tu za kunimwaga mwenzangu, alafu unamtetea(utanieleza vzr)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom