Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nilijua tu lazima ntapitwaaaa!!!
Network yenyewe ipo low duh...mkito funguka basi jameni niipate hii nyimbo mweeeeh!!! Youtube ndo kabisaaaaa inaload tu mmmmmh airtel whyyyy????
 
Ni PM namba ako nikutumie Whatsapp
 
Mwizi wa beat🏃🏃🏃🏃🏃

Kinachokufanya useme mwizi Wa beat ni nini na sehemu gani ya beat aliyoimbia alikiba imefanana na hyo beat unayosema kaiba ?

Je unamjua producer Wa iyo ngoma ?

Unaweza kuungana na Huyu mchawi mwenzako Mr Kidela ambaye kafulia mpaka anakalishwa na Hemed PHD
 
Attachments

  • 1425106108041.jpg
    1425106108041.jpg
    25.2 KB · Views: 118
Kinachokufanya useme mwizi Wa beat ni nini na sehemu gani ya beat aliyoimbia alikiba imefanana na hyo beat unayosema kaiba ?

Je unamjua producer Wa iyo ngoma ?

Unaweza kuungana na Huyu mchawi mwenzako Mr Kidela ambaye kafulia mpaka anakalishwa na Hemed PHD

huyu naye anazeeka vibaya, ukijumlisha na unga duuuh!!!
 
Nilijua tu lazima ntapitwaaaa!!!
Network yenyewe ipo low duh...mkito funguka basi jameni niipate hii nyimbo mweeeeh!!! Youtube ndo kabisaaaaa inaload tu mmmmmh airtel whyyyy????

pole mamii Avemaria mie nae nilipitwa ila nilihakikisha that kabla sijalala nausikiliza mpaka basi yaani!! Kiba bwana i hv all the reasons to love you.
 
Last edited by a moderator:
huyu naye anazeeka vibaya, ukijumlisha na unga duuuh!!!

Mla unga katoa wimbo wiki mbili zilizopita kamshirikisha Naziz mpaka Leo aupo hewani
Plus kuitwa KIDELA
Plus kufunikwa na HEMED PHD
Plus chekecha ya kiba ndani ya lisaa kua wimbo uliopakuliwa sana ijawah kutokea Lazima aponde tu
 
Ha ha ha! Ila lawyer wangu lazima umwimbie mbebez wifi haka kawimbo...

Teh Teh kawimbo nimeanza kukapenda daa nimeka download mkito....halafu nimegundua ukweli kuhusu beat kwa hiyo ugomvi wangu na Kiba kuhusu beat umekwisha na nimeuzika kabisa na hirizi zangu nimezitupa...Trust me huyu producer ndio anaweza akaleta identity ya mziki wa Tanzania...kuna wimbo kama baikoko..kumbe katengeneza huyu daa hatari!
 
Le superlawyer naona mapigo ya moyo yanakuendea kombo hikutarajia jiwe kali namna hii....sidhani kama kampeni yako itazaa matunda unayotarajia...by the way welcome to the royal family

Hahahaaa Ms.Lincoln ujue wewe chizi sana? Nimecheka hadi bhaaasi.
 
Last edited by a moderator:
Nilijua tu lazima ntapitwaaaa!!!
Network yenyewe ipo low duh...mkito funguka basi jameni niipate hii nyimbo mweeeeh!!! Youtube ndo kabisaaaaa inaload tu mmmmmh airtel whyyyy????

Masikini Avemaria! !!!
 
Last edited by a moderator:
Kinachokufanya useme mwizi Wa beat ni nini na sehemu gani ya beat aliyoimbia alikiba imefanana na hyo beat unayosema kaiba ?

Je unamjua producer Wa iyo ngoma ?

Unaweza kuungana na Huyu mchawi mwenzako Mr Kidela ambaye kafulia mpaka anakalishwa na Hemed PHD

Yaani T.I.D na uteja wake bado nilikua namkubali ila kwa hili ndio imetoka hiyo.
 
nifah yaani nikitulia nakushushia mistari, hapana chezea mm kabisa, kibaaaaaaa

Hahahaaa nakusubiri mama.This time huniwezi maana ulivyotoka tu nimeupokea na hadi sasa natambaa nao tu...
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh kawimbo nimeanza kukapenda daa nimeka download mkito....halafu nimegundua ukweli kuhusu beat kwa hiyo ugomvi wangu na Kiba kuhusu beat umekwisha na nimeuzika kabisa na hirizi zangu nimezitupa...Trust me huyu producer ndio anaweza akaleta identity ya mziki wa Tanzania...kuna wimbo kama baikoko..kumbe katengeneza huyu daa hatari!

Umeona eeh? Thats why I like you sometimes. ....
 
Back
Top Bottom