Sema kibaaaa...
Mwenzangu we acha tu, huku jf kwenyewe nacomment kwa shida. Tigo ndo kabisaaaaa inakata tu........nadhani haya maeneo nilipo mitandao haijarekebishika vizuri na nina siku 3-4 za kuwepo huku mweeeh ninalo!!!Masikini Avemaria! !!!
Mwenzangu we acha tu, huku jf kwenyewe nacomment kwa shida. Tigo ndo kabisaaaaa inakata tu........nadhani haya maeneo nilipo mitandao haijarekebishika vizuri na nina siku 3-4 za kuwepo huku mweeeh ninalo!!!
Nani nimgee namba aniwatsapp hiyo nyimbo jameni......only if amepakua yenye high quality sio hivi vya kwenye viblog uchwara vinavyopunguzaga quality ya nyimbo.
Mla unga katoa wimbo wiki mbili zilizopita kamshirikisha Naziz mpaka Leo aupo hewani
Plus kuitwa KIDELA
Plus kufunikwa na HEMED PHD
Plus chekecha ya kiba ndani ya lisaa kua wimbo uliopakuliwa sana ijawah kutokea Lazima aponde tu
Mwenzangu we acha tu, huku jf kwenyewe nacomment kwa shida. Tigo ndo kabisaaaaa inakata tu........nadhani haya maeneo nilipo mitandao haijarekebishika vizuri na nina siku 3-4 za kuwepo huku mweeeh ninalo!!!
Nani nimgee namba aniwatsapp hiyo nyimbo jameni......only if amepakua yenye high quality sio hivi vya kwenye viblog uchwara vinavyopunguzaga quality ya nyimbo.
TID jealous. .ngoma yake aliyotoa na naziz ilitoka pamoja na dogo wa kuitwa billnass ambapo ndani mnyama na naziz..kilichotokea ngoma ya dogo billnass imesogea yake imebuma. ..akiitwa kwenye interview amzungumzie billnass anatupa
Kibààaaaaaa
Hahahaaa nakusubiri mama.This time huniwezi maana ulivyotoka tu nimeupokea na hadi sasa natambaa nao tu...
Yaani T.I.D na utaje wake bado nilikua namkubali ila kwa hili ndio imetoka hiyo.
jamani king utaniletea matatizo na hizi picha zako hebu uwe unavaa mashati
nimeupakua nausikiliza kama chizi, king kiba kanifanya nijisikie princess
yaani huyu teja kanifanya nimuone hemedi ni zaidi wakati simkubaligi, teh! muacheni jamani chezea kuzeeka na stress na uteja juu!!! hata hajui anachoongea.
Achana naye huyo chizi.Ila kuna mahali nimesoma kumbe ana 'mahusiano' na Romy Jones...
Mhhh sisemi sana.
Yaani nimecheka hatariii. Kiba huyu?