Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

I miss you my love...but u dissapoint me....trust me!
Sio mbaya as long as u are here now.Kuna sehemu nimekumention nenda kausikilize ninavyokujua leo utakua mwendawazimu!

nipo
kwenye kelele mama, ila silali bila kuusikiliza niranduke mie maana kiba ananiweza jamani
 
Uwiiiiii leo nina furaha hadi zinamwagika! Weekend yangu imeanza poa sana.
 
Shardcole diamond anamkubali King Kiba tatizo wanaompoteza ni team yake wanamdanganya kua yuko juu zaidi ya King.
 
Last edited by a moderator:
atoto mimi leo nimeahirisha kazi zangu zote kuanzia saa 7 mchana kwa ajili ya King Kiba! How much I like him?

mamii mie ilitokea emergence i had to travel so ckuwa na jinsi, mpaka najihisi kumwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom