Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,424
Sikiliza beat la hapa uone mwizi kiba alivyocopy beat http://youtu.be/iIl7QgpMtKQ
beat ya abbydad na yeye ndo mwenye mamlaka nayo, kama huelewi jambo usishupalie, uliza uelekezwe
Sikiliza beat la hapa uone mwizi kiba alivyocopy beat http://youtu.be/iIl7QgpMtKQ
Mwizi wa beat🏃🏃🏃🏃🏃
Mdakuzi ukuje uone mkeo alivopagawishwa sijui ndo ushamdedicate! Wallahii ukiimbiwa huu wimbo hata kama wewe mdogo kama pirton utajiona mkubwa kama maghorofa ya hongkong!Bora wewe! Yaani mimi kanitia wazimu hapa sijielewi kabisa.Akhsante King Kiba.
Jamani habari yenu humu?
Kajambreeerr....Nini unatakaaa! Nini unatakaa au nkufanye PRINCESs....!
Sikiliza beat la hapa uone mwizi kiba alivyocopy beat http://youtu.be/iIl7QgpMtKQ
Nataka beat mpyaaa
Le superlawyer naona mapigo ya moyo yanakuendea kombo hikutarajia jiwe kali namna hii....sidhani kama kampeni yako itazaa matunda unayotarajia...by the way welcome yo tje royal family
Inakuhusu nini? Nimewahi kukuomba hata sent? Zee zima huna hata aibu kuendekeza umbea.
Live your life!
Mchawi ni yule aliyeruka ukuta kwenye kiboko yao concert
beat ya abbydad na yeye ndo mwenye mamlaka nayo, kama huelewi jambo usishupalie, uliza uelekezwe
Teh Teh hila kawimbo kazuri sema... ..... ..Happy friday
Teh Teh hila kawimbo kazuri sema... ..... ..Happy friday
teh teh teh!!! mtani acha uchawi
Teh Teh bado ungo tuu hapa