ali kiba katika ubora wake, siamini yaani siamini wimbo umenipanda kichwani
Hahaha nyimbo ni nzuri sana...ataisikia tu kwenye daladala, bodaboda, mitaani kila akipita.
Mwizi wa beat🏃🏃🏃🏃🏃
Kwendraaa MNAFIKI mkubwa wewe.Huonekani hadi Kiba atoe wimbo.Una chuki kumshinda shetani
😡😡😡
Kutoonekana kwangu hakubadilishi ukweli ally ameiba beat
Sana tena sana.Leo kuna watu watatundikiwa dripu huko tandale..lol
Kutoonekana kwangu hakubadilishi ukweli ally ameiba beat
huyo mwanga kaibukia wapi?
nifah mpz nimepitwa, i was soooo busy today, shame on me cjauckiliza huo wimbo
kiba kashindikana ana anzisha alipo ishia " he is a king for real "
kiba kashindikana ana anzisha alipo ishia " he is a king for real "