Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
- Thread starter
- #8,221
Makambo ezari minene!
Yan kiukwli hapa kiba katisha sana ngoma hii itahit sana yan mpaka saivi imetoka jana na ina viwers zaid ya elfu 10 big up sana. Haters wapite kule.mweeeeh!!!
yaani napata rahaaa na chekecha cheketua hapa full burudani
Mbona kuna jamaa kakuambia umtumie namba zako? Ngoja nimtafute nitakuita.
Avemaria ingia hapa www.mkito.com
Le loya tatizo le net. Kufungua tu hiyo web inaload mpaka inaboa yaani
Ni Pm nikurushie fasta usipate tabu
Ally kiba is the definition of bongo flava
Nilichokisikia kwenye vituo vya redio Leo ni kweli he z real dfntion f bongo flava
Alafu wewe Abou Saydou weweeee???
Jana ukanambia nikugee namba unirushie nyimbo then ukatimka ghafla....loh!!!
Alafu wewe Abou Saydou weweeee???
Jana ukanambia nikugee namba unirushie nyimbo then ukatimka ghafla....loh!!!
C ulisema ungeniPM !! Nikasubiri uniPM kimyaa
Hahahaaa, PM # mama...unataka akurushie kwa blue tooth?
Hichi ndo kitu Kiba anajaribu kukilenga tangu kipind cha Mwana, Kama mtu huelewi lugha, but Sauti na Beats vitakufanya uupende wimbo!!
But watu wa "Mikoani" wanakuwa wagumu sana kuelewa!!!!!
View attachment 231266View attachment 231267
unajuaje labda wako zero distance so bluetooth inawezekana tu
Uwiiiiii MosDef umekuja kuuwasha huku tena? Ahsante kwa hizo attachments.
watu wa "mbwinde" suala la TID kumponda Kiba kwenye Social network ni "KUBWA" sana kwao, ni suala ambalo linafanya mpaka wabishane kwenye vijiwe tofauti!!!