Huo wa pesa niliusikia last week,halafu nao mzuri but seems ni nyimbo za siku nyingi
yeah ni za muda mrefu sana, ila ukizisikiliza ni kama za leo, bado nausubiri huo wa mapenzi maghorofa, duuuh hapatatosha
Hapa ulikua unarukaruka tu.Ukaniona mimi mjinga sana.hahahaaaa!!! time will tell kwakweli maana king alisema atatusuprise na mavituz ya ukweli
''Hasira hasara dear sikia wahenga walishasema,nami nitakasirika dear kesho nitakunyima,So ndo mchezo gani huo,wa kunikonyeza konyeza mchumba hivo,Najua mi unanirusha ro,....na kama unanipenda hakika mi utanilindaa,....'''
waaaooh!! thanx dear nitakulinda daima
thanks mpenzi shahidi nifah anakuona
Hivi Kama sisi tunakuchekesha je we unatufanyaje?au umesahau upande wako na nani nimesahau na nani ngoja nirudi katikati ya thread 😁😁😁😁
Huo nimeshapenda jina lake,mpya au wa zamani
now nasikiliza wimbo wa 'hela' jamani huyu kiba huyu nyie mwacheni tu.