Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hivi Kama sisi tunakuchekesha je we unatufanyaje?au umesahau upande wako na nani nimesahau na nani ngoja nirudi katikati ya thread 😁😁😁😁

Hahahahahaaaa kweli kama ndio hivi basi na nyie mliburudika sana!
Ila naona mimi ndiye niliyecheka zaidi!
Trust me....nimefurahi sana!
 
Hapa ulikua unarukaruka tu.Ukaniona mimi mjinga sana.

Awwww that's so sweet jamani!Can't imagine atoto alivyofurahi!

Ila hapa akajidai kukausha ili tusijue kama kuna le 'project' linaendelea... eti anakuita Viol dear badala ya.....

Eehh bwana eeh hapa mzee mzima Viol akapasua jibu... atoto ujanja wote kwishaaaa....
Teh teh teh ...
All in all I am happy for you guys...

kweli nimeamini nifah mama umbea upo damuni, khaaaaah!! ukaenda kufukunyua vyote hivyo!!!
am very happy for sure, chezea kuimbiwa nakshi nakshi, i love you big Viol
 
Last edited by a moderator:
Nililala kidogo mama....nimerudi sasa nilikua na kijiusingizi lakini niliyoyaona hapa usingizi wote umekata!..lol

na unavyopenda umbea sasa usingizi utatoka wapi???!!!
 
kweli nimeamini nifah mama umbea upo damuni, khaaaaah!! ukaenda kufukunyua vyote hivyo!!!
am very happy for sure, chezea kuimbiwa nakshi nakshi, i love you big Viol

Hahahahaaaa hapana chezea.
Nakshi nakshi ni moja kati ya nyimbo nizipendazo....
Kaka Viol naye kafanya yake...
Oyooooo
Love is on the air!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh?family inakua na tumechangamka sasa.
Bado Ms.Lincoln hua anajiona mjanja sana.....
Time will tell..
Teh....

Kwi kwi kwi...mimi ni kama bibi humu, mlezi wa familia! Mlezi wa familia huwa anaoza wenzie yeye anajisahau....
 
Last edited by a moderator:
kweli nimeamini nifah mama umbea upo damuni, khaaaaah!! ukaenda kufukunyua vyote hivyo!!!
am very happy for sure, chezea kuimbiwa nakshi nakshi, i love you big Viol

I love you too my heart beat
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi ndio nimepata jibu kwanini Viol aliitwa fastafasta aje kuweka vitu hapa!
Teh teh....

hahahaaaa!!! sasa unadhani ningemuita nani nifah?? Mdakuzi umemkaba, Matola nae sijui kachimbiwa wapi abou hayo mambo hayawezi, so i had no way out bt to call my one and only husband wa dunia Viol si unakumbuka hata video ya mwana yeye ndio alituwekea?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa kweli kama ndio hivi basi na nyie mliburudika sana!
Ila naona mimi ndiye niliyecheka zaidi!
Trust me....nimefurahi sana!

hahaaaa!! furahi uongeze siku za kuishi mama
 
Umeona eeh?family inakua na tumechangamka sasa.
Bado Ms.Lincoln hua anajiona mjanja sana.....
Time will tell..
Teh....

tena umenikumbusha, we @ms.lincolin hivi una project gani cku hizi hata hauonekani nyumbani??? wachelewa kurudi na ukirudi hata haukai umeondoka!! hiyo sio mienendo ya king's family kabisaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa!!! sasa unadhani ningemuita nani nifah?? Mdakuzi umemkaba, Matola nae sijui kachimbiwa wapi abou hayo mambo hayawezi, so i had no way out bt to call my one and only husband wa dunia Viol si unakumbuka hata video ya mwana yeye ndio alituwekea?

Yaani nasikia raha mpaka nasinzia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom