Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sana.King yupo vizuri sasa thou anakuwa kimya sana kumbe ana project zake kibao za maana anatusurprise tu dadadeki...
Hapendi kuanika mambo yake kama mwafulani...

huyo ndio mwanaume wa kweli(teh teh)
alafu kuna hiyo 'wife wa dunia' nimeipakua hulkshare mzuri huo
 
huyo ndio mwanaume wa kweli(teh teh)
alafu kuna hiyo 'wife wa dunia' nimeipakua hulkshare mzuri huo

Mimi sipendi kupakua ngoma huko basi tu.Hata mkito hua naingia sababu ya King tu.
Ungeweza kutuwekea link hapa ingekua poa sana.
 
Mimi sipendi kupakua ngoma huko basi tu.Hata mkito hua naingia sababu ya King tu.
Ungeweza kutuwekea link hapa ingekua poa sana.

mweeee unataka tu kuniumbua sasa, mie na link wapi na wapi!! labda Viol wetu aje afanye hiyo kitu
 
Last edited by a moderator:
aisee ndo nausikiliza leo,wimbo mtamu sana.... atoto huu hapa

yaani mtamu sana, Kiba kweli ni fundi, alafu inasemekana ni wimbo wa muda mrefu na ulivuja tokea mwaka jana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom