Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

tena umenikumbusha, we @ms.lincolin hivi una project gani cku hizi hata hauonekani nyumbani??? wachelewa kurudi na ukirudi hata haukai umeondoka!! hiyo sio mienendo ya king's family kabisaaa!!!!

Haaa! Kuna mahali nlishikika kiumbeya afu nabanwa sana, mama mambo naona mazuri nyumbani....yani kawimbo katamuuu
 
Kwi kwi kwi...mimi ni kama bibi humu, mlezi wa familia! Mlezi wa familia huwa anaoza wenzie yeye anajisahau....

Hahahaaaa mabibi nao wanaolewa siku hizi mama.
Huna habari eeh?Wewe ngoja siku tutakuoza na sisi ndio utajua.
 
Hahahahaaaa hapana chezea.
Nakshi nakshi ni moja kati ya nyimbo nizipendazo....
Kaka Viol naye kafanya yake...
Oyooooo
Love is on the air!

yaani nimefurahii ajabu, ninavyoupenda huo wimbo i never expected ndio my Viol angeniimbia, sure he can read my mind, leo nitauota
 
Last edited by a moderator:
tena umenikumbusha, we @ms.lincolin hivi una project gani cku hizi hata hauonekani nyumbani??? wachelewa kurudi na ukirudi hata haukai umeondoka!! hiyo sio mienendo ya king's family kabisaaa!!!!

Hahahaaaaa mpe mpe vyake.Siku hizi naye anachamba watu jamani!
Kha.... Ms.Lincoln huyu?
 
Last edited by a moderator:
hebu muache apumue kidogo jamani, mwisho atasahau kama yeye ni mwanafamilia pendwa ya kifalme

Hawezi kuisahau family hii pendwa mumy.Yupo busy sana hadi namuonea huruma!Hope atakua hapa soon kutupa nondo za ukweli kama kawaida yake.
 
Haaa! Kuna mahali nlishikika kiumbeya afu nabanwa sana, mama mambo naona mazuri nyumbani....yani kawimbo katamuuu

Heheheheeerrr siku hizi umekua mbea jamani!Hadi nakuogopa kwa kweli...lol
Mambo mazuri si unaona tunavyoicheza harusi hapa?
 
yaani nimefurahii ajabu, ninavyoupenda huo wimbo i never expected ndio my Viol angeniimbia, sure he can read my mind, leo nitauota

Teynaaaaa....mimi hapa natabasamu tu.Ni furaha iliyoje?
Naserebuka tu na kimasomaso hapa.
 
Last edited by a moderator:
Heheheheeerrr siku hizi umekua mbea jamani!Hadi nakuogopa kwa kweli...lol
Mambo mazuri si unaona tunavyoicheza harusi hapa?

Kwi kwi! Kuchamb nlichambanaga hapa bwana....mimi mpole sana sema tu huwa sipendi mtu anionee
 
Viol najaribu kukuquote nashindwa ila hakijaharibika kitu....ni kuhusu kama mimi na Mdakuzi wangu tupo real....
O.M.G!Sijui nitumie neno gani ambalo litatosheleza ninachotaka kukisema hapa.
Amini tupo real sana,we love each other....mambo mazuri sana yanakuja.Stay tune.
nifah hata sisi typo real Sana acha tu.
Hongereni Sana☺☺☺☺
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom