Yalosemwa jana yamejirudia yayaaaaa...
Unalia nini mwenzako nshajenga nyumba,ya kuishi sisi wawili tujenge tuwe na family....
Waache wayaseme wewe leo uko na mimi,na tule hizi raha tusahau ya duniani...
Aisee huu wimbo ni kiboko!Naupenda mpaka basi,hapa tu nausikiliza.....
Thanks King Kiba.
Hahahahaaaa una maneno wewe?
Saivi Mwana inapigwa Trace Tv ya ufarance jamaa katisha sana aiseee
Saivi Mwana inapigwa Trace Tv ya ufarance jamaa katisha sana aiseee
Awwwwwww na iwe hivyo inshaallah kheir dear...
jamani alafu nimemmiss kweli, miss strong where are you???
Diva na geniveros nao wamepotea kweli yaaniAcha tu nilikua mpole mimi hatariii miss strong ndio akanifanya niwe Strong pia...
Teh teh teh ...
I miss her too