Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Last edited by a moderator:
wanazitamani ila ndio hivyo tena haiwezekani, chezea ile mbegu wewe!!! vitoto vizuri vile nani hataki!!! KIIIIIIIING
Hivi huyo dogo bado anazingua?
Huyo ana kawaida moja ukimkalia kimya ndo anazidi kutamba halafu ukimkuta inakuwa shida tena.
jamani nifah kuna ule wimbo wa abby skills ameshirikishwa kiba na sheta, jamani napenda kipande cha cherus cha kiba balaa, yaani hapo tu kwingine wala cjui wanaimbaga nn, i wish ningetengeneza vipande alivyoimba kiba tu!!! jamani kiba ni noma
MwanaFa ft ally kiba kiboko yangu video ,kuachiwa kesho
Bora itoke sasa.Kesho sitobanduka kwenye TVs station.
Kama utaweza kutuwekea link yakuicheki youtube hapa...please ufanya hivyo.
Uko kama mimi mpenzi,hua nasikiliza pale tu basi.
Na alivyopendeza kwenye video je?
Hatariiiii
MwanaFa ft ally kiba kiboko yangu video ,kuachiwa kesho
Bora itoke sasa.Kesho sitobanduka kwenye TVs station.
Kama utaweza kutuwekea link yakuicheki youtube hapa...please ufanya hivyo.
Will do,kama upo insta mfollow mwanaFa au official allikiba fan Page wameanza weka clip
Jukumu la kukusanya sadaka ni la mpwa Heaven on Earth kama ilivyo desturi kwenye hudumu za kila jumapili.
na watu wote waseme Amen.......
sadaka kwangu ziko salama kabisaaaaaa