Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hivi huyu Misago kamruhusuje kuingia ndani? Nilikuwa naona hata aibu kuangalia tv alivyokuwa anacheza japo nipo pekeyangu,matiti kayaachia yanataka kutoka nje, sijui Kiba kafikiria nini kuja na hizo malaya.

Missago n alshabab (Rijal)
 
Nature aliingiaga na ndala Misago akamfukuza but huyu malaya aliyekuja kutuonyesha matiti na upaja anamfurahia tu duh

Utaingiaje ofisi za watu na ndala ! Uhuni mwengne uishie Tandika uko
Ila mavimini hata ikulu yanaingia
 
Kwanini aachie ngoma mbili jamani?
Mi huo mpango haunibariki kabisa, obvious ngoma moja itapotelea tu hewani. Mpaka leo nyimbo ya kimasomaso inaniuma aiseee, ile sauti mule na yale mashairi mweeeeh but haisikiki. Kiukweli naipenda sana hiyo nyimbo, huwa natamani ingekuwa na video yake.

Sifa zimemwingia mkariakoo anaanza kuzngua sasa
 
Back
Top Bottom