Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

mmmh!!! kama huyu mwenye gauni jeusi ndio cjamuelewa hataaa maana hata pichu hajavaa

Hivi huyu Misago kamruhusuje kuingia ndani? Nilikuwa naona hata aibu kuangalia tv alivyokuwa anacheza japo nipo pekeyangu,matiti kayaachia yanataka kutoka nje, sijui Kiba kafikiria nini kuja na hizo malaya.
 
mmmh!!! kama huyu mwenye gauni jeusi ndio cjamuelewa hataaa maana hata pichu hajavaa

Nature aliingiaga na ndala Misago akamfukuza but huyu malaya aliyekuja kutuonyesha matiti na upaja anamfurahia tu duh
 
Jameni ndo nshapitwa hivyoooo!

pole sn mama alikuwa anaelezea mipango yake, anatarajia kuachia ngoma mbili moja ikiwa ni colabo ila alofanya nae ni suprise, imeonyeshwa na video yake na mwana fa iko poa kinoma noma.
 
Nature aliingiaga na ndala Misago akamfukuza but huyu malaya aliyekuja kutuonyesha matiti na upaja anamfurahia tu duh

we humjui missago anavyopenda mibebez?? aibu nimeona mie alivyokuwa anacheza aiseee
 
pole sn mama alikuwa anaelezea mipango yake, anatarajia kuachia ngoma mbili moja ikiwa ni colabo ila alofanya nae ni suprise, imeonyeshwa na video yake na mwana fa iko poa kinoma noma.

Kwanini aachie ngoma mbili jamani?
Mi huo mpango haunibariki kabisa, obvious ngoma moja itapotelea tu hewani. Mpaka leo nyimbo ya kimasomaso inaniuma aiseee, ile sauti mule na yale mashairi mweeeeh but haisikiki. Kiukweli naipenda sana hiyo nyimbo, huwa natamani ingekuwa na video yake.
 
mwenzangu labda ndio bampa to bampa hiyo!!! ni ngumu sana ukaachia ngoma mbili alafu zote zikafanya sawa lazima mmoja ufunike mwingine, kimasomaso una mashairi matamu aisee cjui kwann aliugaya!!!
 
Umeona eeeh??!!
Hichi kitu King anatakiwa kuwa nacho makini sana, maana hiyo style sio nzuri kiivo.

Anyways....my bed needs me now, good night dear!
 
Back
Top Bottom