Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Attachments

  • 1421099152844.jpg
    1421099152844.jpg
    29.6 KB · Views: 56
I saw you.
Halafu huyo alosema nguchiro nilishamdharau kitambo mpaka na IDs zake zote,
Licha ya kujipitisha koooote kule nimemquote sehemu moja tu.

Hakuna adhabu kali kama kumpuuza mtu mjinga humu JF maana mjinga anakuquote ili muanze ligi sasa usipomjibu anaumia sana.

Kama hawa unadhani kwa nini hawaji hapa tena?
 
Attachments

  • 1421099743097.jpg
    1421099743097.jpg
    44.5 KB · Views: 62
Wewe na kisabengo chako ndiye uliyeharibu uzi. We ushamention watu na nikakujibu shortly tu.
Mtu anaibuka from nowhere anasema kumbe kuna vimalaya vyake humu lakini hajataja jina la mtu, wewe uliyekwisha kuita watu unaenda unashadadia.....eti umeona eeeeh hawatathubutu kuleta pua zao huku.....I was like what the hell is this??? Mnatuchezea akili sio???!!

Mark my words, ukiona mtu kakaa kimya usimchokonoe zaidi, mwache kama alivyo usithubutu kumtambia!!
aliyesema kuna vimalaya vyake humu ni mimi au data??? mbona unanilazimishia kesi wewe mwanamke??? i tried kuwa mstaarabu sana, hujui tu how hard i tried not to make it worse, and today dont even buy bundle for me coz hii kitu imeshakuwa kiporo siwezi ipa tena credit, nimeshanza siku mpya siwezi iharibu na mambo ya jana, lakini laiti nimekusoma mapema jana???? ahaaaaa!!! i swear ungenisababishia ban ya maisha.
 
Nyoooo chepi cha kunifanya nikuwekee bundle wewe?? Aigooooo kama unataka itafute mwenyewe coz hata muda wa kukureport mpuuzi kama wewe sina!!!

Upoo....sasa tuliza mshono twende pamoja ikibidi collect silaha zako zote ndo nsharudi like this!
 
Back
Top Bottom