Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nimekuja mine nashangaa ujue hvyoo@paula kilaki anapenda shari sana huo ndo ukweli

alafu anavyopenda kuseek mercy ili aonekane mwema sasa!!! anadhani hatumjui ati!!!! hahahaaaaa leo nimeipenda sana

King nae huku anazidi kutupa raha tu
 
hahahahaaaa NOT YET?? i can see, ngoma imepata mchezaji, keep it rolling gal, but as for me?? am done!!! uwanja wako bibiee.

Nini ngoma?.......

Kama shuzi limepata mjambaji sasa, hivi huwa mnahisi mashabiki wa huku ni wanyonge kihivyo? Mnatuita Nguchiro sisi tunapotezea sasa leo mmoja tu Avemaria kawatolea uvivu umejaa mapovu kama cobra.
 
Last edited by a moderator:

asingenichomekea vitu ambavyo sikusema na kugeuza mtazamo wa huu uzi kuwa too personal, tungeenda sawa na mtazamo wa threads ungekuta tofauti.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaa NOT YET?? i can see, ngoma imepata mchezaji, keep it rolling gal, but as for me?? am done!!! uwanja wako bibiee.

Good for you, you chose the other option......i.e terminating it on your own!

Btw; Rolling itself doesn't do me better, I roll and control......don't steal my credit twin bi.t.ch!!!
 
Nashukuru leo ndio nimemjua sasa Avemaria, ni Jeshi la mtu mmoja. Nilikuwa nafuatilia kwa karibu sana leo. Katisha sana.
Ova

Mimi nilikuwa pale muda wote kama watch dog, nadhani leo salamu zimefika loud n clear kwamba mashabiki wa hapa siyo wajinga na wala siyo wanyonge ni watu wanaojitambuwa walioamua kumantain low profile tu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilikuwa pale muda wote kama watch dog, nadhani leo salamu zimefika loud n clear kwamba mashabiki wa hapa siyo wajinga na wala siyo wanyonge ni watu wanaojitambuwa walioamua kumantain low profile tu.

Kumbe tulikuwa pamoja mkuu! Aisee kaleta heshima, sasa ndio watajua kama huwa tunaamua tu kunyamaza ili siku ipite. Lakini tukiamua mziki ndo uko hivi kama wa Avemaria, tisha sana.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Hahahah kuwa team Kiba kumetufanya wengine tuwe wakorofi. Lol

Haukuwa peke yako i was behind ur back to clear mess just incase mtu mwenyewe nikamuona mwepesi sana na yule mwingine alikuwa anataka tushindane matusi nikaona am too old for that childish. Zile division one za Jangwani, zanaki na Tambaza naziona humu zimesheheni hasa. Nina uwezo wa kusoma mwandiko wa mtu mwenye akili na nikajuwa hilo.
 
asingenichomekea vitu ambavyo sikusema na kugeuza mtazamo wa huu uzi kuwa too personal, tungeenda sawa na mtazamo wa threads ungekuta tofauti.

Wewe na kisabengo chako ndiye uliyeharibu uzi. We ushamention watu na nikakujibu shortly tu.
Mtu anaibuka from nowhere anasema kumbe kuna vimalaya vyake humu lakini hajataja jina la mtu, wewe uliyekwisha kuita watu unaenda unashadadia.....eti umeona eeeeh hawatathubutu kuleta pua zao huku.....I was like what the hell is this??? Mnatuchezea akili sio???!!

Mark my words, ukiona mtu kakaa kimya usimchokonoe zaidi, mwache kama alivyo usithubutu kumtambia!!
 
Haukuwa peke i was behind ur back to clear mess just incase mtu mwenyewe nikamuona mwepesi sana na yule mwingine alikuwa anataka tushindane matusi nikaona am too old for that childish. Zile division one za Jangwani, zanaki na Tambaza naziona humu zimesheheni hasa. Nina uwezo wa kusoma mwandiko wa mtu mwenye akili na nikajuwa hilo.

I saw you.
Halafu huyo alosema nguchiro nilishamdharau kitambo mpaka na IDs zake zote,
Licha ya kujipitisha koooote kule nimemquote sehemu moja tu.
 
Back
Top Bottom