Hahahaaaaa,mimi nilishanyanyua mikono zamani!
Namuachia King style yake aisee maana ni shidah tupu.
Ubinadam kazi ndugu jamaa amekaa chini kafikiria wazo la kiungwana ajatukana mtu wala kuponda mtu yoyote katengeneza uzi kwa ajiri ya watu wenye mapenzi na kiba wewe auna mapenzi na kiba unaingia kufanya nini mara matusi si poa waungwana vwe wastarabu hata kwa kujilazmisha.
Umeona eeh?hii family naipenda hatariiii...Nisipowaona humu nakonda!
Eti eeh?basi mimi nikinywa yananiumiza tumbo my dear...I don't really know what's wrong with me!
Hahaaaaa,eti umeshalipia tangazo!Ulidhani nitakushushua?akaah....
Kiba sio tu kimziki kwa mambo mengi anatisha
1.Hana makuu mwangalieni tu hata akiwa anahojiwa ametulia tuli hana mbwembwe,kiufupi ni gentle man
![]()
2.He is hot and yet hajidai hana mashauzi
![]()
3.Ana sauti ya pekee mpaka gwiji la mziki R.Kelly alinyoosha maelezo,na mziki wake una ujumbe pia,its not just mziki
![]()
4.Hana majungu ana hekima hata akiulizwa kuhusu wasanii wenzie wengine anaochuana nao anajibu kwa hekima na wala hapondi,keep it up Kiba kiufupi tu you have all what a true man is suppose to have na pia you have kile msanii anapaswa kuwa nacho,voice nzuri,mashairi yenye mafundisho na unajitahidi kuwa kioo cha jamii hauna skendo in such!!!!!!!!!!!!!
Ile ata the late wako jacko aendi
Mhuuu!!

wera weraaaaaaaa!!!! Kiba waue baba