Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
abou kumbe kamoja kakiume?
Yeah kidume
Last edited by a moderator:
abou kumbe kamoja kakiume?
Yeah kidume
Yeah kidume
safi sana, jamaniii nimekapendaa kanaswali jamani, maadili safi kabisaaa
sasa kule walivyokuwa wanajichetua eti vyote vya kike!h! wivu mwingine bwana hata haufai
safi sana, jamaniii nimekapendaa kanaswali jamani, maadili safi kabisaaa
sasa kule walivyokuwa wanajichetua eti vyote vya kike!h! wivu mwingine bwana hata haufai
Wale n voda fasta tu
cha mno cha kunilisha maneno mdomoni ili tu kunitia doa?? ukiona vema kuniita voda fasta go on ila sijamuita any kiba's fun malaya. i asked you many time uhighlight nilipowaita malaya you did not unalazimisha maneno niliyoyasema kwa kiba kuwa nilikuambia wewe. bahati nzuri hiyo comment #16 uliosema nimekuita malaya hata jina lako sikulitaja wala la yoyote yule. anyway i realize its hard to work with u people.
Ndo ulichomaanisha ofcoz!
Next time ukiamua kuwa kichaa hakikisha unavua nguo zote na si nusunusu!
tafuta namna nyingine ya kunichafua dada sijasema hivyo, khaaah!!!
umeamua tu kulikuza hili purposefully, hope umetii kiu yako are we done now???
nilikumiss huku mamii Avemaria
Nipo myn.
Dah kila nikifuatilia conversation humu nakuta mmefika mbali mweeeh!!!
colabo za kimataifa zaja so tusubirie masupriseeee ya ukweli ni mambo ya bampa to bampa tu mwaka huu hakuna kupumzika
When au zinakuja tu kama voda fasta 😀
ashasema anapenda suprise so kuwa mpole!!! au hujui maana ya supriseee!!!
I acted the way you wanted me to. Kama we ndo umefikiria hivyo its up to wewe mi hainihusu!
Done with who? I think not yet, but you can terminate it by yourself!