Hili si jambo dogo na ndio maendeleo ya demokrasia,sasa waTanzania tunaenda kupiga kura tarehe 28/10/2020.
Na sio tunaenda kupiga kura kuchagua chama au mgombea hapana ukweli tunaenda kupiga kura kuondoa utawala uliotoa ahadi na hazikutimizwa,hali ya maisha tuliyoahidiwa na haikutimizwa na hakuna muelekeo wa kutimizwa,tunazidi kufariki mahospitali matibabu ni duni,wananchi wanafariki kwa matatizo yanayotibika, lakini unabaki kuhangaishwa kutoka cliniki dispensari na vituo kibao unaishia kufa kwenye hospitali kuu.
CCM imetudanganya, tunachotakiwa kukubali ni kuwa imetudanganya kauli zao ni hizo kwa hizo wanazirudia kila baada ya miaka mitano,sasa kosa kubwa itakuwa tutairudisha madarakani jambo ambalo viashiria vyote vinaonyesha mwaka huu na mwezi huu WaTanzania walio wengi wameapa kutorudia kosa la kukirudisha madarakani Chama kinachosema uwongo na chama lilichopo madarakani na kimevuka mipaka kwa kusema uwongo ni CCM.
Tunasema CCM sasa imetosha umetudanganya miaka mingi sana,umetunyanyasa miaka mingi sana,umetufungia uhuru miaka mingi sana na hii mitano inayomaliza ndio huna la kutueleza,mpaka leo hata Jamiiforums ina kesi ,wananchi wameingia woga na hofu,sasa imetosha hawataki kutongozwa kwa ahadi zenu zisizotekelezeka,wananchi wanasema imetosha,
Kura zinaenda kwa Chama kingine nacho tutakutana nacho baada ya miaka mitano,lazima vyama viwaheshimu wananchi na sio vinapokabidhiwa madaraka vinajisahau na kujiona vipo juu ya sheria na wanaweza kuwafanya wananchi jambo lolote,wangapi wameuliwa,wamepigwa risasi wamefungwa majela bila ya sababu Serikali kuu kama haina habari,ipo ipo tu kuchumia matumbo yao,mlisahau kuwa miaka mitano ni muda unakwenda na unamaliza.
Buriani CCM mnakufa mdomo wazi.msishituke hamufi mnazimia tu.mkizinduka jiongezeni pengine mkarudi kwenye chati.