Alex Massawe kakamatwa!



shika adab yako we kijana....
 
Umeongea ukweli mtupu mzee. Hawa jamaa ni wezi wa kila namna. Ole wenu na sasa hivi wanataka kuchukua madaraka ya hii nnchi.

fanya kaz kijana acha wivu wa kiki...kila tajiri lazima ana untold story...tofaut ni kwamb alex massawe yey amewah kukamatwa na kushtakiwa thats y umejua alichokifanya...Nafkir unaijua vizur concept ya risk-return trade off... eeeh!!
 
hata ukijaribu kuangalia mwanae kilichomfanya aache mpira katika kile kiwango chake cha hali ya juu ni haya maswala ya wizi tu hivyo hiyo ni chain ndefu sana ya wizi kwenye hyo familia.Hata hapa ARUSHA jamaa anayo hotel kubwa tu inaitwa AM hotel nadhan waliopo Arusha ni mashahid wa hili.
 
Alex Massawe anakula bata majuu kuna video clip niliwahi kuiona anavyotumbua pesa!ccm hawawezi mkamata hata kikwete alishindwa akamuachia huru
 
Alex Massawe anakula bata majuu kuna video clip niliwahi kuiona anavyotumbua pesa!ccm hawawezi mkamata hata kikwete alishindwa akamuachia huru
Mdogo wake na massawe naye si kidogo!! Nimefanya kazi moja kwenye nyumba yao iliyopo barabara ya kibosho kirim,hapo mwanzoni,eneo la karibu na shanty town,huyo naye ni mwizi na alikuwa kiongozi Uvccm pamoja na Malisa.
 

na msofe naye ni mchaga!!?
ama ndio mwisho wako wa kufikiri?
 
Na makongoro aanaingiaje kwenye kesi?
 
asante mkuu Kwa kufatilia inshu km hizi,wakati mwingine ingia mpaka miamala ya escrow aisee
 
fanya kaz kijana acha wivu wa kiki...kila tajiri lazima ana untold story...tofaut ni kwamb alex massawe yey amewah kukamatwa na kushtakiwa thats y umejua alichokifanya...Nafkir unaijua vizur concept ya risk-return trade off... eeeh!!

Mkuu unajibu kwa hisia sana vipi unahusika na huyu jamba.zi?Au na wewe umetumwa kumsafisha mtandaoni.
 

Mkuu kwanza tushukuru kama Alex amekamatwa. Pili marehemu alichukua mkopo wa 75mil. Riba ikakua mpaka kufika around 200 mil. Na jamaa akawa anahaha kukomboa nyumba yake. Mke wake akafungua kesi kuwa hajui kuhusu mkopo huo na hakuna sehemu aliyosaini. Ndio shida ikaanza ya kutishana wakitaka pesa yao. Akina Massawe na Papaa Msofe wakauziana hiyo nyumba kwa ubabe ikawa Massawe amechomoka kiaina msala akamwachia Papaa Msofe. Ndio mambo yakaenda mpaka kifo kilipomkuta mdaiwa
 

KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar ‘Papa Msofe' na mwenzake, Makongoro Joseph, imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuahirishwa hadi Oktoba 13 mwaka huu kutokana na uchunguzi kutokamilika.
Msofe na Makongoro wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya Onesphory Kitoli. Kesi hiyo imetajwa chini ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa

Mkuu hawa watu ni wazulumati na wauaji kabisa kwani hela waliyomkopesha Kibosho mwenzake Alex ni milioni 30 tu na riba ikapanda hadi 200m
Breaking: Papaa Msofe atuhumiwa kwa mauaji – Bongo5.com
 
Christopher Alex Massawe sio mtoto wa Kidumbuyo (Alex Massawe)
ila ni mtoto wa Dominic Massawe wa Dodoma, alizaliwa Dodoma kusomea na kuanza mpira Dodoma kabla ya Simba
 

Massawe ndio alimpa hela msofe tetesi ni kua msofe ndie alisaini mkataba wa mkopo pia ndio alikua anamtumia onest ms za vitisho ndio mana imekula kwake,pia marehemu alishauza vi2 vyake vyote mererani hiyo nyumba ndio ki2 alichukua amebakiza,pia hata hiyo 75m unayosema asingeweza kurudisha mana hakua nayo,wa2 wengi wanaochukua hela z riba huwa maji yako shingoni so kurudisha inakua ngumu ndio mana wazee wa fursa huwa wanawameza mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…