Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,705
- 272,583
Haki lazima itasimama,Lisu kawaingiza Mboe na Slaa choo cha kike.
bila shaka aliyekudanganya kafa .
Haki lazima itasimama,Lisu kawaingiza Mboe na Slaa choo cha kike.
Sawa, baada ya Zitto atafuatia nani au ndo waliobaki wote ni wanachama "watiifu, wana nidhamu ya kuvumilia kuona demokrasia ikibadilishwa maana kwa kutunga taratibu zilizonje ya utaratibu kikatiba na kutohoji lolote chamani (kifupi mnaendelea yale yale ya ndio mzee!)"
Kwani Msando kashinda kesi gani kwa haya matambo..mwambie asubiri kesi iendelee kama hajaikimbia kizimba chake cha utetezi..alikuwa anataka ukaribu na LEMA jamaa akamshtukia kuwa ni msaka umaarufu na noti.
Cheupe macho kama umekula kungu,,!!!
Unajiandaa kufanyiwa kitchen party nini??
HASARA TUPU,,MTOTO WA WATU WEWE,SI MCHANA SI USIKU,MTOTO SI MALI KITUUU,,,
ONA SURA YAKO CHEUPE,UNAPENDA KUJIPODOAAA,UNAPENDA KUJICHUBUAA,UNAPENDA KUTUZINGUAA,KUMBE NI KAKA POAAA,,USIMUONE AMEPOAAA.KATOKA KUSASAMBUAAA,,VIUNO UNANENGUAA,,WANAKUOPOAA...
CHEUPE BHANA,USILIEE BASI..
Mnapamba sana Zito kupita alivyo mbona kuna watu wa maana na watulivu CHADEMA wako wengi sana,Zito hawezi kumfikia hata 1/4 Ben Wa Saanane Kijana mwenye Akili Isiyochakachuliwa na Maccm.
mbona alikuwa ashavuliwa nyadhifa zote tayari?? inamaanisha hukumu ilikuwa ishatolewa bila kusikilizwa, ndo manaa jaji alisema, you can't jail him first and hear him later"Najaribu kuelewa tu Kashaga. Kwani Kamati Kuu ilikwishamchukulia hatua za kinidhamu Zitto? Si ndio process ilikuwa inaendelea. Walimapatia makosa 11, akatakiwa awasilishe utetezi, ndio Kamati Kuu ingetoa maamuzi. Labda kwa utetezi wake KK ingeridhika na kuamua vinginevyo. Kisha baada ya hapo ingefuata rufaa Baraza Kuu. Kwa mfano, Dr Kitila na Mwigamba, baada ya kuvuliwa uwanachama na KK sasa wana haki ya kikatiba kukata rufaa BK dhidi ya mamuzi yao. Sasa Zitto anataka kukatia rufaa maamuzi yepi?
Akamvue mke wake nguo kwanza,, zzk ni lzm aondoke anataka kubaki cdm kwani amefunga ya kikrito na cdm.