Ukristo wa kwetu ni wa mapokeo zaidi na ni mchanga bado watu hawajashtukia deal kuwa makanisa ni SACCOS za wachache . Kina Kakobwe , Lwakatare , Mzee wa Upako walishtukia wakaona waanzishe branches zao wavute kiulaini.Kwanini ndoa ya kikristu haina mwisho?mbona wazungu walioleta ukristu africa wanaachana kila siku au ukristu gan
So umeamua kuachana na snitch na kufuata ma snichest...
Anyway, tunajua kuwa Kumfukuza sawa mnaweza na mtamfukuza, ila sababu za kumfukuza na utaratibu mnaoutumia sio. Muhimu kawafundisha hilo. Hataondoka Chadema kikondoo bali kishujaa.
Kha! Lema yupi huyo! huyuhuyu mini kabaang? nadhani wewe tu ndio unamuona wamaana.
Kwani ni wapi kasema kashinda Kesi? Nyie ndio munakipaka matope na kukifanya kionekane hiki Chama ni chawahuni & walevi wa gongo.Mbona hakuna kesi aliyoshinda
, kavurugwaaa nini
Ndio maana nikaipenda kauli ya 'kufuata taratibu za chama...cha muhimu afukuzwe tu'!
Kamanda wacha kuchekesha walio nuna bhana. LEMA ana HEKIMA? Hakima hiyo kaionyesha kwenye jambo lipi?hivi wewe unajua maana ata ya hiyo min kabang au unadandia treni kwa mbele!Lema ni kamanda wa kweli mwenye mapenzi na Taifa pamoja na watu,nimeshasema uongozi siyo mpaka uwe na madigree na madiploma au masters au dr. pimbi wewe!uongozi ni busara na hekima na nia uliyonayo kwa watu utakaowaongoza;huyo mpuuzi zitto digree au phd aliyonayo ndiyo yakusaliti wananchi waliomchagua na Taifa kwa ujumla kwa tamaa ya kiiskarioti halafu mjinga mjinga kama wewe unaleta unafiki wako kwa makamanda tulio na upeo chanya kwa Taifa hili lililoliwa na parare(maccm)na madumadu(zitto na wasaliti wenzake kama kina shibuda na kina juliana)wewe mjinga acha kupandisha hasira makamanda tutakuja kama fidifosi ooohoo!
Naye kama hajamuelwa vizuri anayemtetea na malengo yake basi asubiri mpaka pale atakaposalitiwa!Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMAMA
Wakili msomi AlbertMsando ametoa yaliyo moyoni. Kupitia ukarasa wake wa Fb haya ndio aliyoandika.
By; Albert Msando
Kwa marafiki zangu,
Wajibu huu ni ndani na nje ya chama. Hatuwezi kutekeleza wajibu upande mmoja. Binafsi ninalo jukumu kutekeleza wajibu wangu kwa manufaa ya chama.
Kumekuwa na lawama, shutuma na malalamiko kwamba nilichokifanya kinadhoofisha chama. Napinga kwa nguvu zangu zote. Inawezekana kabisa nilichofanya kinadhoofisha watu wachache ndani ya chama ila sio CHAMA.
CHADEMA sio mtu binafsi. Ni taasisi. Wanachama wake ndio nguzo muhimu. Sio Zitto wala Mbowe wala Slaa. Hawa ni viongozi tu ambao wajibu wao ni kuendelea kujenga chama.
Uwezo wao upimwe kwa matokeo ya sasa. Sio kwa mvuto na haiba zao. Fundisho la haya yote ni moja: KUVUMILIANA SIO KUFICHIANA SIRI AU UDHAIFU. Kosa limetendeka na kukubali kosa sio dhambi.
Kinachohitajika sasa sio kutafuta mchawi. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuwajibika ipasavyo na kuhakikisha suluhu inapatikana. Na niseme wazi kabisa, kama suluhu ni mtu kufukuzwa basi tuhakikishe hilo linafanyika kwa mujibu wa Katiba na Kanuni kwa kuzingatia haki za msingi kama ambavyo tumekuwa tukipigania.
Hii kichekesho !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Suluhu toka kwa nani?
Kupitia mahakama siyo!!!!!!!!!!!
Mwisho, tusiruhusu muendelezo wa 'ufuasi' wa watu ndani ya chama. Tuwe wafuasi wa misingi ya chama. Bado nafasi ipo ya kurekebisha pale tulipoangukia kama busara na hekima vitatumika.
Nawatakia kila kheri ndugu zangu.
"In a battle for the minority rights we have to promote the rights of the majority and we will remain united" AGM 2014.
Msando
Nadhani huyu munayemwita Wakili msomi kuna kitu /au anamsongo wa mawazo!!!
Ukisoma alichokiandika sijui !!!!!!!!!!! Namshauri amtumia Kopi Mteja wake Zitto kama ataelewa na kufurahia hayo mawazo yake!
NB; Nadhani na yeye ameanza kujishitukia kuwa sehemu ya tatizo lakini asije na utetezi mbovu kama huu.Ni vizuri sana utetezi wake wa kwanini amekubali kumwakilisha Zitto uwe kwenye eneo na sababu kwa ajili Fani yake ya Uwakili na si ushabiki/imani/uanachama wake CDM kama anavyodiriki kuweka wazi hivi ''Mwisho, tusiruhusu muendelezo wa 'ufuasi' wa watu ndani ya chama''
We ni mtoto mdogo tu, CDM umeanza kuipenda juzi tu (2010) Usiwaongelee mbovu watu ambao nusu ya maisha yao wameyatumia kukijenga Chama.katiba itumike ama isitumike Zito lazima afukuzwe, yaani dili ni kumfukuza tu afukuzwe na atokomee, kama vp Msando nawe umfuate huko atakakoelekea.
Akamvue mke wake nguo kwanza,, zzk ni lzm aondoke anataka kubaki cdm kwani amefunga ya kikrito na cdm.
...Nadhani hilo kwenye red ndo la maana. Hayo mengine ya kuondoka kishujaa ni mbwembwe tu. kwanza wanaomuona shujaa si hawahawa kutoka Lumumba wanaomsifia humu jamvini. Hata IDD Amin aliondoka Uganda kishujaa kwa baadhi ya watu - lakini wengine tuliona kaondoka kwa aibu.So umeamua kuachana na snitch na kufuata ma snichest...
Anyway, tunajua kuwa Kumfukuza sawa mnaweza na mtamfukuza, ila sababu za kumfukuza na utaratibu mnaoutumia sio. Muhimu kawafundisha hilo. Hataondoka Chadema kikondoo bali kishujaa.
Kuyagaragaza Magamba kuanzia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, Mahakama Kuu na mpaka Mahakama ya Rufaa na si ajabu na kwa Mwenyezi Mungu! Wee unadhani hapo kilichotumika ni ma------ yako? Wee teja nini?!Kamanda wacha kuchekesha walio nuna bhana. LEMA ana HEKIMA? Hakima hiyo kaionyesha kwenye jambo lipi?