Eti,,mwalimu,,sijui nani kawaambia mimi ni mtaaluma hiyo..
Unajaribu ku-tabir lakin unashindwa na unahangaika sana,pole sana,
Even though siwez kuidharau na kuibeza taaluma hiyo,kwan bila walimu hao unaowadharau nisingefika hapa,au usingefika hapo,,lakin hiyo sio professional yangu,,vip unataka kuijua proff yangu??nikusaidie nikutoe kwenye hiyo tabu??
Mwehu kweli wewe,usiish maisha ya kulabdia labdia,,,watu tuna maisha yetu,,na hatutii huruma kama vikaragosi wa wanasiasa nyinyi,,
TUPO HAPA KWA KAZI MOJA TUH,KUPIGANIA RASILIMALI ZA TAIFA,KUWATESA WANASIASA NA KUKEMEA UKANDA UDINI NA UKABILA AT ANY COST AND BY ANYMEANS NECESSARY,,
WHETHER YOU LIKE IT OR NOT,YOU HAVE TO FACE IT MWEHU WEWE
UKikuta mtu mzima aliyejitambulisha kuwa mpambanaji chini ya miezi sita unakuta analamba viatu vya watu ujuwe ndio mwehu,usiite wenzio wehu wakati unashinda JF kwa ajili ya character assasination unaattack personalities za watu,kabila na dini za watu what a nasty great thinker unatukana maumbile ya mtu ya kuzaliwa halafu unajiita unakili au unamaisha mshamba wa gesi haitoki ndio maana you failed the battle kwa sababu kichwani maji matupu