Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

Mimi naomba wansheria wanisaidie, hivi chama ambacho kipo Kisheria hakiwezi kujiongoza kwa katiba yake? Mahakama ina mamlaka gani kung'ang'aniza mtu abaki chama fulani? Chama kiachwe kijiendeshe kwa katiba yake na kusimamia miiko na maadili yake. Hii ni sawa na kulazimishwa kuoa mke usiyemtaka, ndoa itavunjika tu!!!!!!!!!!!!!!! Kama mahakama ina mamlaka makubwa namna hii basi kwa mamlaka iliyonayo iongeze idadi ya wanachama kwa vyama vyenye wancham wachache!!!!!!!!!!!!!!!! Naomba wansheria mnipe jibu kama mpo. "MUNGU IBARIKI CHADEMA"
 
Chadema na Mob justice,
Ukipigiwa kelele za mwizi Kariakoo utapigwa hadi ufe hata kama hujaiba. Ndo kinachomkumba zitto, hata akijitetea vipi sauti yake inafunikwa na kelele za mwiziiii-mwiziii-mwiziiii.......
Na mara nyingi vibaka na wezi huwa msitari wa mbele kumsulubu mpigiwa kelele za wizi....
 
Awo

Kesi hii inaanza mwezi ujao nakuhakikishia wanao mshangilia Msando leo hapa watamcheka!Chini ya ushauri wa Prof Safari na Mabere Marando CHADEMA itashinda kesi hii!Kibatala atashinda kesi hii kwa uwazi kabisa

Mahakama imetoa tu angalizo chini tena ya kiapo cha dharura(Wadhamini wa CHADEMA hawakusaini affidavit)kuwa Zitto asijadiliwe hadi kesi yake ya msingi iishe lkn mbumbumbu wa sheria wapo mitaani kumshangilia Msando!

Zitto HAKUADHIBIWA na CC-CHADEMA na kuvuliwa Unaibu Katibu Mkuu sio adhabu maana cheo hicho sio cha kupigiwa kura!

Kwahiyo ndio kusema kuwa Tundu A.M.Lissu haaminiki tena?Mmeamua kuongeza nguvu kazi ili kumkabiri mtu mmoja tu tena dogo tu asiye jina lolote katika ulingo wa sheria nchini 'ALBERT MSANDO'.
 
Last edited by a moderator:
Hoja ya msingi ni kwamba wametumiaje hiyo nusu ya maisha au maisha yao kwenye taasisisi/chama?? Huwezi kuniambia kwa kuwa tuu mwanachama amekulia kwenye chama, hata kama anakihujumu chama ili afaidike binafsi, ataachwa tu kwa kuwa amekulia kwenye chama!! Ndiyo maana ukiangalia kwa umakini sakata lote hili utaona kwamba ZZK ni mbinafsi kupindukia, kwani angejiuliza kwa nini kamati kuu yote yenye wajumbe wengi na mahiri (Mpaka maprofesa!!) iwe na kauli moja? Hivi wewe kama ni kiongozi kazini kwako ukagundua wafanyakazi wenzio wote hawakutaki si lazima ujiulize una kasoro gani? Kama ni mimi lazima niondoke kwenye hicho kituo cha kazi maana hakuna kazi itakayofanyika. Pili tujifunze kujibu hoja kwa hoja na si kuitana majina mabaya ( wewe ni mtoto..) anaweza kuwa ni sawa na mzazi wako huyo unayemkashifu.

Inategemea ni watu mahali pa kazi wasiokutaka,Kama ni Vigogo pekee tu?Kama Zitto hatakiwi kweli mbona hamtaki ajadiliwe na Baraza Kuu,Mnaogopa nini?
 
Mimi naomba wanasheria wanisaidie,! Hivi mahakama inaweza kuingilia shughuli za chama ambacho kipo kisheria na kinajiongoza kwa katiba yake? Kwanini mahakama isiache chama kisimamie miiko na maadili yake? Naomba wanasheria wanipe jibu napata shida sana ni sawa na mtu anayelazimishwa kumuoa mke asiyemtaka, ndoa itavunjika tu!!!!!!!!!!! Basi mahakama kwakuwa ina mamlaka makubwa hivi iongeze idadi ya wanachama kwa vyama vyenye wanachama wachahe kwa mamlaka iliyopewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! "MUNGU IBARIKI CHADEMA"

Hata nisiye Mwanasheria naweza kukujibu swali lako japo la juu juu.Hii ni kwasababu Vyama vyote vya Siasa Nchini viliundwa kwa mujibu wa Katiba mama ya Tanzania,Mahakama ni Chombo maalum cha kutafsiri hizi sheria na pia kutoa maelekezo/misaada ya kisheria pale panakuwepo na mikanganyiko ya kisheria.Chadema walijichanganya katika eneo hili ndio maana Mahakama ikaamua toa maamuzi iliyayotoa siku ile.
 
Inategemea ni watu mahali pa kazi wasiokutaka,Kama ni Vigogo pekee tu?Kama Zitto hatakiwi kweli mbona hamtaki ajadiliwe na Baraza Kuu,Mnaogopa nini?

Nikuulize swali: cc ya CDM in watu wangapi mkuu? lets say 40, hivi kama ni wewe watu 40 kwa kauli moja wanasema una matatizo/hawakutaki unajisikiaje kung'ang'ania kufanya nao kazi?? Honestly ndani ya moyo wako utakuwa na amani kweli (acha ushabiki wa wapambe/kurubuniwa maana mwisho wa siku utabaki wewe na dhamira yako!!) ndani ya moyo wako?? Chukulia mfano Mkuu wa idara kwenye Halmashauri za wilaya kikao cha wataalamu (CMT) wa halmashauri waazimie kwamba hawamkaki kwa sababu anawahujumu, halafu agome na aende mahakamani kwa msingi kwamba full council intamlinda je ataweza kufanya kazi hapo?? Huyo atakuwa amejikatia tiketi ya kuondoka tuu sioni namna yoyote.
 
Cheupe macho kama umekula kungu,,!!!

Unajiandaa kufanyiwa kitchen party nini??

HASARA TUPU,,MTOTO WA WATU WEWE,SI MCHANA SI USIKU,MTOTO SI MALI KITUUU,,,

ONA SURA YAKO CHEUPE,UNAPENDA KUJIPODOAAA,UNAPENDA KUJICHUBUAA,UNAPENDA KUTUZINGUAA,KUMBE NI KAKA POAAA,,USIMUONE AMEPOAAA.KATOKA KUSASAMBUAAA,,VIUNO UNANENGUAA,,WANAKUOPOAA...

CHEUPE BHANA,USILIEE BASI..
We chakula tu.Kuandika kwenyewe huwezi,inaonyesha unajuwa kunyonya mitarimbo tu.
 
Kwahiyo ndio kusema kuwa Tundu A.M.Lissu haaminiki tena?Mmeamua kuongeza nguvu kazi ili kumkabiri mtu mmoja tu tena dogo tu asiye jina lolote katika ulingo wa sheria nchini 'ALBERT MSANDO'.

Daah usajili mpya wa Lumumba FC7 huu!

Nakujibu kama ifuatavyo:Kwenye sheria kushindwa hatua za awali haina maana utashindwa kwenye kesi ya msingi!Niliowataja hapo ni wanasheria wa CHADEMA na wana haki ya kumchukua yyt awawakilishe!

Kesi ikianza tuwepo hapa tuendelee kufundishana;tusikimbie jukwaa!!By the way nani kasema Msando ni mwanasheria mpya?Msandom kaanza ku practice sheria siku nyingi mno chini ya law firm ya Mawala(RIP),then akajitoa akaanzisha firm yake!Msando ana zaidi ya miaka 10 kazini!
 
hivi wewe unajua maana ata ya hiyo min kabang au unadandia treni kwa mbele!Lema ni kamanda wa kweli mwenye mapenzi na Taifa pamoja na watu,nimeshasema uongozi siyo mpaka uwe na madigree na madiploma au masters au dr. pimbi wewe!uongozi ni busara na hekima na nia uliyonayo kwa watu utakaowaongoza;huyo mpuuzi zitto digree au phd aliyonayo ndiyo yakusaliti wananchi waliomchagua na Taifa kwa ujumla kwa tamaa ya kiiskarioti halafu mjinga mjinga kama wewe unaleta unafiki wako kwa makamanda tulio na upeo chanya kwa Taifa hili lililoliwa na parare(maccm)na madumadu(zitto na wasaliti wenzake kama kina shibuda na kina juliana)wewe mjinga acha kupandisha hasira makamanda tutakuja kama fidifosi ooohoo!

Funga mlango tupigane...by Lema mjengoni...kweli jamaa Ana hekima sana...hahahahah
 
I salute you bra! u said and proclaimed the right one! but those who live by their stomach wont at all recognize you!
 
Hata nisiye Mwanasheria naweza kukujibu swali lako japo la juu juu.Hii ni kwasababu Vyama vyote vya Siasa Nchini viliundwa kwa mujibu wa Katiba mama ya Tanzania,Mahakama ni Chombo maalum cha kutafsiri hizi sheria na pia kutoa maelekezo/misaada ya kisheria pale panakuwepo na mikanganyiko ya kisheria.Chadema walijichanganya katika eneo hili ndio maana Mahakama ikaamua toa maamuzi iliyayotoa siku ile.

mkuu nisaidie pia kwanini mahakama iliwaachia huru Zombe na wenzake waliotuhumiwa kuwaua wafanyabiashara watatu wa madini?
 
Back
Top Bottom