Olomi jerome
Member
- Jan 2, 2014
- 96
- 42
hawashindani na chama wala na wanachama hasa kama jibu ndo hilo watakuwa wanashindana na nani hzo niporojo tu,ukwel uko palepale wanashindana na chama na wala sio mbowe wala slaa kwasababu harakat anazofanya zitto awabomoi viongoz kama anavyotaka kutuaminisha bali chama,tutasimama had mwisho kuleta mabadiliko ya kwel na sio ya kuigiza kama ya zuber kabwe na msando albert