UFASHE MLIBHONA
Senior Member
- Nov 28, 2012
- 177
- 51
Mbona hakuna kesi aliyoshinda
, kavurugwaaa nini
Kalaghabaho wewe uko mbali na vyombo vya habari nini? hujui yanayoendelea??
Mbona hakuna kesi aliyoshinda
, kavurugwaaa nini
sasa nani unamlegea macho cheupe??
CC Ritz, ahmed deedat,,
We sio bure,,utakuwa mchele mchele wa mbowe,au yule mzee muuza gongo
Da Freema Agyeman ... nilijiunga Chadema nikiwa chuo inspired by Zitto Kabwe...inaniuma kuwa nilimfuata snitch!
Natambua kwamba kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA mojawapo ya madhumuni ya chama ni kuendeleza na kudumisha Demokrasia katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kujenga utamaduni wa demokrasia katika jamii kwa kutambua haki za wengi katika maamuzi na pia kutambua haki za wachache kusikilizwa, kuheshimiwa na kulindwa, sambamba na kukubali ushindani huru, wa haki na wa wazi
Pia natambua kwamba kwa mujibu wa Katiba ya chama Wajibu wa mwanachama wa Chadema ni kuwa tayari kupambana na namna yeyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na ubaguzi
Hicho ndio wanachama wanasema kama wewe na mteja wako ni Malaya wa kisiasa nendeni mukajiuze kisiasa kwa MACCM huko huko ,unavunja taratibu za chama kwa sababu muna wakwe IKULU halafu unakuja kuongea ujinga eti taratibu ziwe ndani na nje wakati wewe unafanya hayo hayo unayolaumu watuWajibu huu ni ndani na nje ya chama. Hatuwezi kutekeleza wajibu upande mmoja. Binafsi ninalo jukumu kutekeleza wajibu wangu kwa manufaa ya chama
Kumekuwa na lawama, shutuma na malalamiko kwamba nilichokifanya kinadhoofisha chama. Napinga kwa nguvu zangu zote. Inawezekana kabisa nilichofanya kinadhoofisha watu wachache ndani ya chama ila sio CHAMA.
.CHADEMA sio mtu binafsi. Ni taasisi. Wanachama wake ndio nguzo muhimu. Sio Zitto wala Mbowe wala Slaa. Hawa ni viongozi tu ambao wajibu wao ni kuendelea kujenga chama Uwezo wao upimwe kwa matokeo ya sasa. Sio kwa mvuto na haiba zao. Fundisho la haya yote ni moja: KUVUMILIANA SIO KUFICHIANA SIRI AU UDHAIFU. Kosa limetendeka na kukubali kosa sio dhambi
wazi kabisa kumekuwa na kutokuelewana kwa muda mrefu. Ni dhahiri viongozi wetu wamekuwa wanajua udhaifu wa kila mmoja wao. Lakini kwa sababu ambazo hazijawa wazi waliamua kukaa kimya. Au labda ilikuwa ni kwa kuamini kwamba yatamalizika bila athari. Sasa matokeo yake ndio haya
]Kinachohitajika sasa sio kutafuta mchawi. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuwajibika ipasavyo na kuhakikisha suluhu inapatikana. Na niseme wazi kabisa, kama suluhu ni mtu kufukuzwa basi tuhakikishe hilo linafanyika kwa mujibu wa Katiba na Kanuni kwa kuzingatia haki za msingi kama ambavyo tumekuwa tukipigania.
.Haki itendeke, na zaidi lazima ionekane imetendeka. Pamoja tunaweza
Mwisho, tusiruhusu muendelezo wa 'ufuasi' wa watu ndani ya chama. Tuwe wafuasi wa misingi ya chama. Bado nafasi ipo ya kurekebisha pale tulipoangukia kama busara na hekima vitatumika
Jitakie heri mwenyewe Mungu akuangazie mwanga ujitambue kwamba hata upate fedha sawa na mlima Kilimanjaro hutaiuwa chadema ,mageuzi na mabadiriko kwa sasa ni inevitableNawatakia kila kheri ndugu zangu.
In a battle for the minority rights we have to promote the rights of the majority and we will remain united" AGM 2014.
hongera sana msando,
salam na ziwafikie huko TENGERU,,KILAM KITU HUYO MZEE ASIANGALIE KWA KUTUMIA MAKENGEZA KAMA YALE YA MKWE WAKE,MKAZA BINTI YAKE,,,ZAMA ZIMEBADILIKA HIZI,,
CHAMA KIWE NI CHA KITAIFA,,CHAMA KISIWE CHA KIKANDA,KIDINI NA KIKABILA,HILO HALIKUBALIKI
Najaribu kuelewa tu Kashaga. Kwani Kamati Kuu ilikwishamchukulia hatua za kinidhamu Zitto? Si ndio process ilikuwa inaendelea. Walimapatia makosa 11, akatakiwa awasilishe utetezi, ndio Kamati Kuu ingetoa maamuzi. Labda kwa utetezi wake KK ingeridhika na kuamua vinginevyo. Kisha baada ya hapo ingefuata rufaa Baraza Kuu. Kwa mfano, Dr Kitila na Mwigamba, baada ya kuvuliwa uwanachama na KK sasa wana haki ya kikatiba kukata rufaa BK dhidi ya mamuzi yao. Sasa Zitto anataka kukatia rufaa maamuzi yepi?
riwa....shimboni shafo mbe?Salute mkuu...
Msando umewavua nguo wazandiki
mshika chuma nadhan atakuwa kashikishwa chuma cha moto..!!
BIGSHOW ATAMUWEZEA WAPI??WAMESHINDWA WATU,LABDA WAYATUME MASHETANI,,
KAMA ANATAFUTA BWANA WA BURE HAPA HAWEZ KUMPATA,SISI TUPO HAPA KWA KAZI MOJA TUH,,KUKEMEA UKANDA,UDINI NA UKABILA WA HIYO SACCOSS YAO YA AYATOLLAH MTEI
Kwani Msando kashinda kesi gani kwa haya matambo..mwambie asubiri kesi iendelee kama hajaikimbia kizimba chake cha utetezi..alikuwa anataka ukaribu na LEMA jamaa akamshtukia kuwa ni msaka umaarufu na noti.
Wakili msomi Albert Msando ametoa yaliyo moyoni. Kupitia ukarasa wake wa Fb haya ndio aliyoandika.
By; Albert Msando
Kwa marafiki zangu,
Hatujashinda kesi dhidi ya chama. Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA.
Natambua kwamba kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA mojawapo ya madhumuni ya chama ni kuendeleza na kudumisha Demokrasia katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kujenga utamaduni wa demokrasia katika jamii kwa kutambua haki za wengi katika maamuzi na pia kutambua haki za wachache kusikilizwa, kuheshimiwa na kulindwa, sambamba na kukubali ushindani huru, wa haki na wa wazi ....
Pia natambua kwamba kwa mujibu wa Katiba ya chama Wajibu wa mwanachama wa Chadema ni kuwa tayari kupambana na namna yeyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na ubaguzi.
Wajibu huu ni ndani na nje ya chama. Hatuwezi kutekeleza wajibu upande mmoja. Binafsi ninalo jukumu kutekeleza wajibu wangu kwa manufaa ya chama.
Kumekuwa na lawama, shutuma na malalamiko kwamba nilichokifanya kinadhoofisha chama. Napinga kwa nguvu zangu zote. Inawezekana kabisa nilichofanya kinadhoofisha watu wachache ndani ya chama ila sio CHAMA.
CHADEMA sio mtu binafsi. Ni taasisi. Wanachama wake ndio nguzo muhimu. Sio Zitto wala Mbowe wala Slaa. Hawa ni viongozi tu ambao wajibu wao ni kuendelea kujenga chama.
Uwezo wao upimwe kwa matokeo ya sasa. Sio kwa mvuto na haiba zao. Fundisho la haya yote ni moja: KUVUMILIANA SIO KUFICHIANA SIRI AU UDHAIFU. Kosa limetendeka na kukubali kosa sio dhambi.
Ni wazi kabisa kumekuwa na kutokuelewana kwa muda mrefu. Ni dhahiri viongozi wetu wamekuwa wanajua udhaifu wa kila mmoja wao. Lakini kwa sababu ambazo hazijawa wazi waliamua kukaa kimya. Au labda ilikuwa ni kwa kuamini kwamba yatamalizika bila athari. Sasa matokeo yake ndio haya.
Kinachohitajika sasa sio kutafuta mchawi. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuwajibika ipasavyo na kuhakikisha suluhu inapatikana. Na niseme wazi kabisa, kama suluhu ni mtu kufukuzwa basi tuhakikishe hilo linafanyika kwa mujibu wa Katiba na Kanuni kwa kuzingatia haki za msingi kama ambavyo tumekuwa tukipigania.
Haki itendeke, na zaidi lazima ionekane imetendeka. Pamoja tunaweza.
Mwisho, tusiruhusu muendelezo wa 'ufuasi' wa watu ndani ya chama. Tuwe wafuasi wa misingi ya chama. Bado nafasi ipo ya kurekebisha pale tulipoangukia kama busara na hekima vitatumika.
Nawatakia kila kheri ndugu zangu.
"In a battle for the minority rights we have to promote the rights of the majority and we will remain united" AGM 2014.
Msando
BAADA YA SHAURI LA MH ZITTO KABWE KUPATIWA UAMUZI WA MAHAKAMA,,NAJIULIZAA,,HIVI NI KWELI KWAMBA KAMATI KUU YA CHADEMA HAIKUWA IKIFAHAMU KWAMBA:-
Ibara 6.3.6(d) ya Katiba ya Chama chao cha Chadema inasema;Kiongozi aliyechukuliwa hatua za kinidhamu na mamlaka yake ya nidhamu anayo haki ya kukata rufaa ngazi ya juu ya ile mamlaka yake ya nidhamu na uamuzi wa ngazi hiyo utakuwa wa mwisho.???
Kwamba Ibara 6.3.6(e) ya Katiba ya Chama;Rufaa yoyote lazima ifanyike katika muda wa siku thelathini tangu tarehe ya kupokea rasmi kwa maandishi maamuzi ya mamlaka iliyotoa adhabu.,,na kwamba ;Kanuni za Uendeshaji zinatoa
UTARATIBU ambao unatakiwa ufuatwe ili kiongozi aliyeadhibiwa aweze kutumia HAKI yake ya kukata rufani kwa maneno haya??
Kwamba Kanuni ya 6.5.8 ya Kanuni za Uendeshaji za chama hichohicho cha chadema,inasema;Kiongozi aliyeadhibiwa atapewa taarifa ya msingi wa maamuzi ya mamlaka ya nidhamu ili kumuwezesha kuamua kukata rufani au la??
Kwamba Kanuni ya 6.5.9 ya Kanuni za Uendeshaji;Mwadhibiwa atakayeamua kukata rufani atatakiwa kufanya hivyo katika muda wa siku thelathini baada ya kuarifiwa uamuzi wa adhabu??
Kwamba Kanuni ya 6.5.10 ya Kanuni za Uendeshaji;Baada ya kutoa uamuzi kikao husika kinalazimika kuandaa taarifa kamili ya mwenendo wa shauri na kuwasilisha ngazi ya juu.??
Na kwamba Taarifa hiyo, lazima ifike katika muda wa siku kumi na nne baada ya kikao cha maamuzi??
NITASHANGAA KAMA TUNDU ANTIPAS LISSU ATAACHWA AENDELEE KUWA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA,BAADA YA MAKOSA HAYA YA KITAALUMA
NI WAZI ATAKUWA BILA KUMUNG'UNYA MANENO,,AMESHINDWA KUISHAURI VEMA,NA KISHERIA,KAMATI KUU YA CHAMA CHAKE,ILI IONE JINSI AMBAVYO ILIKUWA INAVUNJA VIPENGELE HIVI VYA KATIBA AMBAYO NDIYO SHERIA MAMA
Jadili mada sio vilema vya watu makengeza ya Mtei kwani yalimfanya ashindwe fanya kazi zake wewe hapa juzi umetangaza upambe wa gesi haitoki umeshindwa sasa unalipwa book 7 mwalimu mzima huku ukijua kabla hujafa hujaumbika kipofu na mfinyu wa ufikiri wewe
unafikiri kwa kutumia hiyo kwenye avatar yako.
Sasa CDM mmefika mbali hata Albarto Msando hamumtaki tena kisa kumtetea ZZK? Hiyo siyo siasa ni vita sasa jamani! Kila mmoja aangalie mipaka yake na kuheshimiana, mnakoelekea siyo kuzuri na matokeo yake mtakuja kuyaona soon!Huyu ndio anaeneza propaganda kwamba kashinda na sasa anataka suluhu ili aonekane mwema!,bado mnajaribu kushindana na chama na wanachama wake lkn hamta shinda.Ngoja kesi ianze na nakushauri mwambie Zito akachukue karatasi zake pale ofisini kuonyesha jinsi alivyovuliwa vyeo.Nendeni pamoja nae,nawe Msando diwani wa mabogini na huku hukai mabogini ulipewa kwa heshima ya chadema tu sasa subiri uone moto.