Sioni tatizo. Zitto afukuzwe kwa kufuata sheria. Muhimu ni kwamba afukuzwe.
BAADA YA SHAURI LA MH ZITTO KABWE KUPATIWA UAMUZI WA MAHAKAMA,,NAJIULIZAA,,HIVI NI KWELI KWAMBA KAMATI KUU YA CHADEMA HAIKUWA IKIFAHAMU KWAMBA:-Albert Musando ni muhuni tu kama huyo muhuni mwenzake ZZK. Yeye akiwa ni mwanachama wa CDM na diwani wa Kata ya Mabogini mkoani Kilimanjaro hakupaswa kumtetea mtu mmoja ZZK labda tu iwe ni kwa maslahi ya chama.
Mwanachama mtiifu kwa Chama chake hawezi kufanya uhuni aliofanya Wakili Musando. Yeye hana tofauti na rafiki yake Zitto.Wote ni wasaliti wa chama.
CHADEMA isiwaonee haya watu kama hawa maana ni mamluki wa CCM wanaotaka kukiangamiza chama. Musando lazima naye achunguzwe na Chama kwa sababu kwa kesi hii anayomtetea Zitto Kabwe haina maslahi kwa chama isipokuwa kukiumiza na kukididimiza.
Albert Musando ni muhuni tu kama huyo muhuni mwenzake ZZK. Yeye akiwa ni mwanachama wa CDM na diwani wa Kata ya Mabogini mkoani Kilimanjaro hakupaswa kumtetea mtu mmoja ZZK labda tu iwe ni kwa maslahi ya chama.
Mwanachama mtiifu kwa Chama chake hawezi kufanya uhuni aliofanya Wakili Musando. Yeye hana tofauti na rafiki yake Zitto.Wote ni wasaliti wa chama.
CHADEMA isiwaonee haya watu kama hawa maana ni mamluki wa CCM wanaotaka kukiangamiza chama. Musando lazima naye achunguzwe na Chama kwa sababu kwa kesi hii anayomtetea Zitto Kabwe haina maslahi kwa chama isipokuwa kukiumiza na kukididimiza.
Mbona we kubwa jinga unamumunya midole ka choko.
Wakili msomi AlbertMsando ametoa yaliyo moyoni. Kupitia ukarasa wake wa Fb haya ndio aliyoandika.
By; Albert Msando
Kwa marafiki zangu,
Hatujashinda kesi dhidi ya chama. Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA.
Natambua kwamba kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA mojawapo ya madhumuni ya chama ni kuendeleza na kudumisha Demokrasia katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kujenga utamaduni wa demokrasia katika jamii kwa kutambua haki za wengi katika maamuzi na pia kutambua haki za wachache kusikilizwa, kuheshimiwa na kulindwa, sambamba na kukubali ushindani huru, wa haki na wa wazi ....
Pia natambua kwamba kwa mujibu wa Katiba ya chama Wajibu wa mwanachama wa Chadema ni kuwa tayari kupambana na namna yeyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na ubaguzi.
Wajibu huu ni ndani na nje ya chama. Hatuwezi kutekeleza wajibu upande mmoja. Binafsi ninalo jukumu kutekeleza wajibu wangu kwa manufaa ya chama.
Kumekuwa na lawama, shutuma na malalamiko kwamba nilichokifanya kinadhoofisha chama. Napinga kwa nguvu zangu zote. Inawezekana kabisa nilichofanya kinadhoofisha watu wachache ndani ya chama ila sio CHAMA.
CHADEMA sio mtu binafsi. Ni taasisi. Wanachama wake ndio nguzo muhimu. Sio Zitto wala Mbowe wala Slaa. Hawa ni viongozi tu ambao wajibu wao ni kuendelea kujenga chama.
Uwezo wao upimwe kwa matokeo ya sasa. Sio kwa mvuto na haiba zao. Fundisho la haya yote ni moja: KUVUMILIANA SIO KUFICHIANA SIRI AU UDHAIFU. Kosa limetendeka na kukubali kosa sio dhambi.
Ni wazi kabisa kumekuwa na kutokuelewana kwa muda mrefu. Ni dhahiri viongozi wetu wamekuwa wanajua udhaifu wa kila mmoja wao. Lakini kwa sababu ambazo hazijawa wazi waliamua kukaa kimya. Au labda ilikuwa ni kwa kuamini kwamba yatamalizika bila athari. Sasa matokeo yake ndio haya.
Kinachohitajika sasa sio kutafuta mchawi. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuwajibika ipasavyo na kuhakikisha suluhu inapatikana. Na niseme wazi kabisa, kama suluhu ni mtu kufukuzwa basi tuhakikishe hilo linafanyika kwa mujibu wa Katiba na Kanuni kwa kuzingatia haki za msingi kama ambavyo tumekuwa tukipigania.
Haki itendeke, na zaidi lazima ionekane imetendeka. Pamoja tunaweza.
Mwisho, tusiruhusu muendelezo wa 'ufuasi' wa watu ndani ya chama. Tuwe wafuasi wa misingi ya chama. Bado nafasi ipo ya kurekebisha pale tulipoangukia kama busara na hekima vitatumika.
Nawatakia kila kheri ndugu zangu.
"In a battle for the minority rights we have to promote the rights of the majority and we will remain united" AGM 2014.
Msando
Yaani wewe kiumbe ni mjinga sana hivi ulizaliwa kutoka kwenye uke wa binadamu au mnyama?wachaga wengine mnazingua sana,hasa nyinyi sampuli hii,
wengine wana kengeza hadi vichwani mwao,
wengine kama nyinyi mnarembua rembua hadi vichwani mwenu,yani ili mradi tabu tuh kujitoa ufaham,,
HIVI UKANDA,UDINI NA UKABILA UTAWASAIDIA NINI NYINYI MAPIMBI??
HEBU KAZA MACHO HAYO,UNAREMBUA REMBUA NIN MTOTO WA KIUME??AU NI ..MTOTO SIO....,, MALIZIA MWENYEWE
Unaanza kuwa cc wafia dini wenzako? why? jisimamie mwenyewe…wewe si unamdomo kama tundu la choo?sasa nani unamlegea macho cheupe??
CC Ritz, ahmed deedat,,
We sio bure,,utakuwa mchele mchele wa mbowe,au yule mzee muuza gongo
Da Freema Agyeman ... nilijiunga Chadema nikiwa chuo inspired by Zitto Kabwe...inaniuma kuwa nilimfuata snitch!
Jinsi tu Msando alivyoongea anaonekana yuko smart sana kichwani,Ameongea point ya msingi sana.Haya wale wasioweza kabisa kutumia akili zao ipaswavyo katika kudadavua mambo ya msingi na hoja madhubuti kama hizi ni fursa yenu nyingine kuporomosha mitusi,kumwaga kashfa na kuwaita wenzenu majina ya dharau kama mlivyokwishaanza kufanya hapa.Hatuwalaumu ndio upeo wenu wa kufikiri ulipogotea hapo.Kwa tulio na akili zetu kubwa na huru Msando tumekuelewa sana na hongera kwa maneno ya busara na yenye kuonyesha ukomavu wa hali ya juu wa kifikra na kimawazo.
Kwanza kwa kupitia hizi comment zako za chuki chuki nimegundua wewe unaishi maisha ya kiwahili swahili sana…yaani wewe hata kama ulipitia shule basi hiyo shule yako haijakusaidia hata kidogo. mburula sana wee mduduDhambi ya ubaguz haitawaacha salama
SASA MNAANZA KUBAGUANA WENYEWE KWA WENYEWE??MSANDO SI MCHAGA MWENZENU HUYO??
MNAMBAGUA KWA LIPI SASA,UDINI,UKANDA AU UKABILA??
MNA LAANA NYINYI
Huyu ndio anaeneza propaganda kwamba kashinda na sasa anataka suluhu ili aonekane mwema!,bado mnajaribu kushindana na chama na wanachama wake lkn hamta shinda.Ngoja kesi ianze na nakushauri mwambie Zito akachukue karatasi zake pale ofisini kuonyesha jinsi alivyovuliwa vyeo.Nendeni pamoja nae,nawe Msando diwani wa mabogini na huku hukai mabogini ulipewa kwa heshima ya chadema tu sasa subiri uone moto.