ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,680
msando,
siku hizi kuna watu miongoni mwetu wenye haki ambazo wengine hawana,wana haki
ya kuita press kumshutumu mtu lakini ni marufuku kwa anaeshutumiwa kujitetea hadharani,ni sahihi wao kuchafua mtu hadharan lkn anayechafuliwa anatakiwa kukaa kimya .
Mkuu,
Tangu Msando alipomaliza press conference yake mpaka sasa zimeshaanzishwa thread kama tano hivi. Zote ni za kumshambulia Msando na kumtisha kuwa atavuliwa uanachama.
Wengine wanasema hajaonekana kwenye kata yake mwaka mzima, wengine wanasema ni mtu wa starehe tu, wengine wanahoji anapata wapi pesa. Yaani ni chuki zisizokuwa na msingi kabisa
Watu kama hawa hawafai kukabidhiwa nchi. Watawafanya vibaya watu wenye mawazo tofauti nao.