Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
'Tuwe' principled sasa. Wote. Na hapa wote unajua namaanisha nani na nani. Ni hatua gani zichukuliwe na sisi ambao tunatakiwa kuwa principled?
Nafasi yangu na yako katika hili hazitofautiani. Nini kifanyike, lini, wapi na nani?
Msando,
Hivi tayari ulishajibu swali la Mwaikenda kuhusu neno Dharura? au wewe unalitafsirije?
Wewe ni kijana mdogo angalia usituaminishe kwamba na akili yako ni ndogo pia.
Mambo ya DARUSO yaliishia DARUSO usituchanganyie unafiki.
Nakuomba usije ukajishushia heshima yako kwanza wengine humu ni wateja wako, ila kwa upuuzi huu unaoufanya Im getting in doubt brother