Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,568
- 103,408
wanasheria na ubunge/udiwani ni majanga ndo maana US huruhusiwi kutumikia hivi vyote kwa wakati mmoja!
Ben saanane, lmpact ya anachokifanya Albert ni kama ifuatayo.
1. Wanachama wa chadema kupata fulsa ya kujua
katiba yao
2. Kujua vizuri makosa aliyofanya zitto kama
yapo au makosa waliyofanya uongozi wa
chadema kama yapo
Na huu utakuwa mfano au fundisho zuri kwa wanachama na uongozi wa chadema kujua nin kinatakiwa. Na kitu ambacho uongozi wa chadema unatakiwa kufanya ni kuonyesha na kuwaelimisha wanachama wake alichokosea zitto kama kipo ili kutoa dhana ya uonevu. Najua ben unalijua na chama pia, hili swala kuna walioona ni sahihi uongozi ulichokifanya na pia kuna watu wanaoona uongozi umekosea.
What albert is doing is perfect kwa wanachama, wapenzi na wafuatiliaji wa siasa.
Kaka MsandoAlberto kutenda mema hapo awali si ticket ya kutenda mabaya sasa.
Hata Zitto naye huwa ana utetezi wa kitoto kabisa kama huo wako lakin bora yeye ugonjwa tunauelewa wa kupenda sifa na majivuno lakin je kwa wewe mtaaluma wa sheria kabisa ?
yaaaani wewe ndio umeonesha udhaifu zaidi huna ulijualo zaidi ya kuwa ndondocha subiri siku ziende ndipo utakapo jiona kweli wewe sufuri,chadema haijawahi kukurupuka kwa lolote lile hata cku moja hatua iliyo fikiwa na kamati kuu usifikiri walikuwa hawajui kama hilo litatokea ,subiri usiwe na presha wakati hata wewe huna ushahidi wa kuto kuhusika kwake.
Yaani nyie CHADEMA mnakera sana siku hizi.
Why don't y'all just go away for sometime. Just take time out and disappear from the face of the earth and then come back after a month or two.
Halafu na wewe unajua kwamba hilo jina lako linafanana na numbu ambapo kwa Kisukuma ndo kiazi.
Acheni siasa za kiujanjaujanja. Aliyekubali makosa ni Kitila Mkumbo ambaye pia alikiri kuwa hawakuwa wamemfahamisha Zitto mkakati huo na ndio maana walikuwa wanaongelea option nyingine endapo "Dogo" wakimaanisha Zitto ataukataa. Na hii sio mara ya mwanzo kwani hata wakati ule wa Kafulila anaenda NCCR naye alikuwa na mpango wa kwenda kumtayarishia mazingira Zitto bila ya ridhaa yake. Zitto hajawahi kukubali kosa la mkakati wa kuliondoa genge la Mbowe madarakani ili kuboresha chama na kukisafisha CHADEMA na liability ya uongozi wa Mbowe.
Umaarufu unadhani utanisaidia nini Mkude? Sihitaji umaarufu hata kidogo. Mbona haukusema haya wakati nilipomtetea Mh. Mbowe; Mh. Ndesamburo; Mh. Nassari; Mh. Lema nk kwenye kesi zao?
Kwa hiyo ghafla nakuwa kenge nikitetea Kanuni na Katiba ya chama kisa tu anayehusika ni Zitto?
Naamini kwenye hukumu na adhabu kwa mujibu wa Katiba na Kanuni. Niko tayari kuadhibiwa, kutukanwa, kudharauliwa, kuonekana mjinga nk lakini Katiba na Kanuni LAZIMA ziheshimiwe na kufuatwa.
Chadema inapaswa kujivunia kuwa na vijana kama Msando.
Hapa CCM ina jambo la kujifunza.
Cc Ritz VUTA-NKUVUTE Ng'wamapalala
SUMLEY,
1:Wanachama wa CHADEMA wanapewa fursa ya kuijua katiba na itikadi ya Chama chao kabla hawajajiunga na ndiyo maana wanaulizwa kama wamekubaliana na itikadi.Inachekesha leo mtu unaemtetea eti kupitia kazi yake na wateja wake ya kuvunja kanuni,taratibu na katiba ya Chama ndio njia sahihi na fursa ya wanachama kuijui katiba ya chama chao.Hapa hakuna hoja and i really doubt the intellectual capacity of the so called "wenye akili kubwa".Kweli? Is this the best they ca do?Fursa ya kuijua katiba? Tusijadiliane kama vile tunaamua ugomvi wa Bar.Tujadili maturely with facts.Tuache hisia na matamanio
2:Kujua vizuri makosa?Yaani katika kufundisha watu kujua vizuri makosa unawafundisha kwa njia ya kuvunja kanuni,taratibu na katiba kama walivyofanya hawa wateja na Mwanasheria wake Diwani Albert Msando,Kiongozi wa CHADEMA pale Serena Hotel alipoitisha tamko la upotoshaji wa maamuzi ya kamati kuu ya chama chake dhidi ya watuhumiwa waliotukana viongozi,waliojaribu kukivunja chama kwa kukigawa kuendana na matamanio ya Steven Wassira 'CHADEMA kitasambaratika kabla ya Uchaguzi mkuu"?
Ha ha haha! Hivi unaelewa unaandika kwenye public forum?Bila ridhaa yake?What do you mean?
Omar,Kwanza declare interest zako katika hili sakata.Leo wanafiki wote watajitokeza.
Urafiki wako na watu usijaribu kuuingiza kwenye mijadala maana hautakua objective zaidi ya kuleta mihemko.
Nilishakuambia mara kadhaa jenga hoja kulingana na age na uwe principled.Wewe kama msaidizi wa Dr.Salim ulitakiwa ujifunze mengi kutoka kwake.
Unafiki utalimaliza taifa kama tutaacha kuwaambia ukweli watu wa sampuli yako.
Msando,
Hivi tayari ulishajibu swali la Mwaikenda kuhusu neno Dharura? au wewe unalitafsirije?
Wewe ni kijana mdogo angalia usituaminishe kwamba na akili yako ni ndogo pia.
Mambo ya DARUSO yaliishia DARUSO usituchanganyie unafiki.
Nakuomba usije ukajishushia heshima yako kwanza wengine humu ni wateja wako, ila kwa upuuzi huu unaoufanya Im getting in doubt brother
Kweli we kianzi,hicho kiswahili umejifunzia mombasa,kwa hiyo kama haraka ni 'kitu' kwenda speed/kasi isiyo ya kawaida hata gari likipita speed au ndege au jiwe tunasema linaharaka,rudi shule we kilaza ukasome tena kiswahili..kwa tafsiri isiyo rasmi dharura ni hali ya tukio fulani lililotokea gafla bila kutegemewa! na haraka ni kitu kwenda kwa kasi/speed kubwa zaidi au isiyo ya kawaida.
Haya ni maneno ya kiswahili tu yanayowapa shida wachaga wengi kwa sababu kwao kiswahili ni second language!
Hivi wewe unafikiria malengo ya kuwepo kwa siasa katika jamii ni nini?. Hufahamu kama siasa ni kuwatumikia wananchi na katika siasa, matakwa na shauku ya wananchi katika mstakabali wa maisha yao ndiyo kigezo cha kwanza na pia ndiyo nguzo kuu katika kutimiza malengo ya kisiasa kwa wanasiasa makini.Shauku?Unamaanisha kwamba tuendeshe siasa kwa kukidhi shauku au hamu ya/za watu?
Taratibu na kanuni zinazokuwa nje ya matakwa na shauku za wananchi hazifai kuwa ndiyo kipimo cha kuwatumikia wananchi.Yaani ukiuke taratibu na kanuni kwa kisingizio cha kutimiza shauku za watu?Hii ni kichekesho.Hivi kwa fikra hizi kweli tutajenga taifa kubwa ? Tunatengeneza taifa la mihemko.Quick fixing style of leadership.
Hufahamu kama mojawapo ya kazi za wanasiasa ni kuongoza katika kutatua changamoto za muda mfupi na mrefu. Ndiyo maana Mwanasiasa Mwingereza aitwae Harold Wilson aliwahi kusema 'a week is a long time in politics' na kutokana na hivyo, vyama vya siasa ambavyo ni makini vinatumia pesa nyingi kwenye polls and surveys for political and social trends katika kujiandaa ili kukabiliana na matukio ambayo mengine yanahitaji style ya viagra katika kukabiliana nayo.Tunatengeneza mfumo unaofanya kazi kwa style ya Viagra.No offence! Eti watu wana Shauku ya kusikia?
Kila jambo katika jamii yenye misingi ya kidemokrasia pana huwa ni debatable.Halafu jamani,unaposema wanachama na viongozi wana mentality za kidikteta unamaanisha nini?Sijui kama unaelewa unachotaka kuandika hapa maana dhana ya udikteta ni debatable
Hata Demokrasia ni udikteta wa wengi dhidi ya Wachache.Kwa hiyo kama wanachama wengi na viongozi wanasimamia misingi,kanuni,na taratibu za chama dhidi ya watu wachache wanaopambana to suit their senseless ambitions basi huo ni udikteta wenye tija na ndio unaofaa.
msando amekuwa msando kweli tulitegemea atuwakilishe hapo kikijini lakinu udiwani tu ameshakuwa mroho wa madaraka je ukimpa ubunge sindio balaa kabsa,
kamati ya siasa hapo moshi ipitie katba ya chadema iangalie hatua za kuchukua maana moja ya masharti ya mwanachama ni kukitetea chama na si vinginevyo
Teh teh teh ndio maana Lumumba wengi humu tia maji teh teh embu kaonganishe iyo sentensi uliyoandika alafu utoe maana ya KUZODOA..wee nenoi KUZODOA hulijui ama hujawah kuliskia??
basi jifunze kiswahili fasaha kwa kununua kamusi ya mwaka 2011 ta tuk
wanafunzi wangu wanapata tabu ya nini??
Kwani wewe umeandika nini?Yaani huyu mtoa mada ni mburula kweli. Hajui hata anachokiandika
Kwani wakati wa kusahisha mitihani ya wanafunzi huwa mnasahisha pale mwanafunzi anapokosea spelling na neno kuleta maana nyingine au kutoleta maana kabisa,inawezekana nyie ndio mnaozalisha Division5..sasa unaona jinsi9 ulivyo kuwa pimbi??
haimchukui mtu msomi kujui kwamba hapo herufi n ilikosea kuandikwa...........
sasa nakushangaa sana wewe ambaye maneno kuntu ya kiswahili huwezi kujiashua nayo.
basi kama kiswahili hujui tembelea jukwaa la lugha utanikuta huko na kila siku nina maneno mapya.
ila tu nikutoe tongotongo KUZODOA ni neno la kiswahili tena kile kisichokuwa na tashwishwi ngoman mwa maskio yako, kadhalika neno KUVUVIWA.
Stop being over jubilant brother.Do you agree with him?Je wewe unakubaliana na hizo rhetorics kama Mwanachama wa CHADEMA?Be honest to ypurself!