Albert,
Aya ya kwanza,Sijui huu upotoshaji una malengo gani.Hakuna mahali popote nilikosema anayetukosoa ni mwenzetu au si mwenzetu.
Hujajibu swali langu kuwa je,wewe kama mwanachadema halisi unayejua kanuni,maadili,itifaki na katiba ya CHADEMA unakubaliana na hizo rhetorics za vichaka vitatu?To me that's just another rhetorical hogwash.Wewe umekwepa kujibu
Pili,Utamtenganishaje Albert na wale wanaokidhalilisha chama kwenye media badala ya kufuata kanuni na taratibu?Yaani ushiriki mchezo huu moja kwa moja halafu unalaumu watu kufanya mjadala kuwa Albert na CHADEMA?
Albert,Wewe ni Msomi na unajua impact ya unachofanya katika Jamii na kama mwanasiasa unajua madhara ya unachofanya.Hao maadui zetu unawalaumu kama njia ya ku-blind watu na kutaka ku-divert attention na attitude za watu towards reality ya kile unachofanya/mnachofanya.
Hao maadui zetu wewe na wateja wako ndio mnawapa platform hii na hata hapa wanakupa sapoti na kuandika maaneno unayokubaliana nayo.Watu hao siku zote wapo huku wakiitukana CHADEMA,Pia nenda kasome magazeti ya maadui zetu uone jinsi walivyoshikilia bango haya mliyoyafanya jana pale Serena Hotel.Leo kweli unawalaumu maadui zetu?
Hebu tufikie hatua tuache unafiki.
By the way,Kulikua na haja gani ya wewe kwenda kufanya Press Conference badala ya ku-address hili ndani ya vikao?Kama wewe ni Mwanasheria wao tena kwa bahati nzuri ni Diwani,ni kiongozi na Mwanachama hai Wa CHADEMA,kwanini usifuate taratibu na hata kama ni utetezi ukaupeleka kwenye vikao?
Leo unalaumu wanaokushambulia?Hebu tuache unafiki Brother na tuweke maslahi ya taasisi juu ya urafiki.
Hebu Tuwe principled sasa!