Nantahulila
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 2,160
- 1,804
Duh!Allah akuongoze katika haqq ni wachache sana wenye uelewa kama wako, umeandika kwa usahihi kabisaaaa nitamalizia kwa misemo miwili ya Waja wema wa kwanza ina imam shafii RahimahuLlaah alisema muamini allah tabaraka halafu kua na msimamo wa kule unachokiamini usiyumbe, wapili ni swahaba Ali bin abdultwalib alisema ukitaka kujua kundi gani lipo sawa basi angalieni mishale ya maadui inaelekea kwa wingi wapi. Allahmdulilah na leo twaona mataifa yamekusanyana kuizima nuru ya uislamu ila waislam wamelala hawajitambui kabisa sasa hao mashabab wametoka kuinusuru dini.